Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi cha kucheza dhidi ya Mourinho.
Hakuna Andrey Santos
Marc Guiu kwenye Benchi
Tyrique George, kiongozi wa mashambulizi
Nini maoni yako
1759254778300.png
 
Comference kombe la timu dhaifu, halafu hilo la CWC nimekua na shaka nalo pia, iweje Club ya Dunia isitoe mchezaji bora? au kocho bora? Tuzo ya Club Bora tuzo anapewa wa Club bingwa!! inamaacha kikombe cha WCW ni cha mchongo.

Mgosi ni tapeli
Ulisema hatatufikisha mahali na mimi nikatoa ushahidi wa alivyotufikisha mahali hata kama ni makombe dhaifu kwa maoni yenu. Muwe na shukurani vinginevyo Mungu atawahesabia dhambi.
 
Ushindi wa leo umeletwa kwenu na si mwingine bali Alejandro garnacho
 
Ze blauzi kila siku lazima mle umeme, ngoja mechi ijayo mko na livakuku lazima awalambe
 
Liverkuku iliyolala mara mbili chali, wale wameheuka wagawaji tu
Hakuna cha Isak wala Ekitike wal Wirtz
 
Kiukweli kabisa sisi hatuwezi kuifunga Liverpool kocha kashindwa kutengeneza team ambayo ipo balanced kwenye kushambulia na kudefence opponent anapata urahisi sana kutufikia golini plus team inamakosa mengi na aina mpira wa Liverpool tunawezaje kuifunga
 
Timu inarely na Cole Palmer kwenye kutengeneza nafasi. Pia Colwill alikuwa ni msingi wa ulinzi na mahsambulizi.
Kuna hawa wachezaji wakikosekana Chelsea haiwezi kuamnua matokeo
  1. Levi Colwill
  2. Cole Palmer
  3. Moises Caicedo
  4. Cucurella
kikosekana mmoja, timu inapwaya
 
J2 mna kazi moja tu kushinda....acheni vrsingizio majirani....Livakuku pulling imeshaisha.... Tunawaomba sana mkaze makalio uwanjani...na kadi za kilofalofa hatutaki....mechi tatu mfululizo mnakula red card....inaonesha mna kikundi Cha wahuni humo ndani
 
Kila mtu ashinde mechi zake
 
Comference kombe la timu dhaifu, halafu hilo la CWC nimekua na shaka nalo pia, iweje Club ya Dunia isitoe mchezaji bora? au kocho bora? Tuzo ya Club Bora tuzo anapewa wa Club bingwa!! inamaacha kikombe cha WCW ni cha mchongo.

Mgosi ni tapeli
Kwahyo ulitaka Ballon d or apewe nani....Palmer au Pedro🤣🤣🤣🤣....na kocha Bora Maresca....lile lilikuwa kombe la Trump mmeenda kucheza kumfurahisha yule Babu....mnacheza na kina Flamingo sijui Santos mnajiona mmekamilika🤣🤣🤣....na bdo mtadundwa sana....ila J2 mjikaze muache ufala
 
CWC yale sio mashindano, lile ni bonanza.
Comference kombe la timu dhaifu, halafu hilo la CWC nimekua na shaka nalo pia, iweje Club ya Dunia isitoe mchezaji bora? au kocho bora? Tuzo ya Club Bora tuzo anapewa wa Club bingwa!! inamaacha kikombe cha WCW ni cha mchongo.

Mgosi ni tapeli
 
Hivi yule Gittens anastahili kweli hata kucheza U21?
Nilichokiona jana kama atabadilika basi Miujiza ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom