Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Najiuliza hivi ingetokea kipindi kile ndo mkamchukua Luis Enrique, sijui sisi wengine tungejifichia wapi.. huyu mzee ni master kuliko makocha wote duniani kwa sasa.

Tumeshukuru mlivoangukia kwa Pochetino.

Ila km mngekua na Enrique, na huu uwekezaji wenu mkampa wachezaji anaowataka, au hata hawa hawa tu mliokua nao basi nina uhakika mngechukua na makombe ya EPL back to back.. maana km Barca anafungwa kwao convincingly na wakina Mayulu, basi hawa wakina Estevao na Neto wangekua hawashikiki.
 
Kwahyo ulitaka Ballon d or apewe nani....Palmer au Pedro🤣🤣🤣🤣....na kocha Bora Maresca....lile lilikuwa kombe la Trump mmeenda kucheza kumfurahisha yule Babu....mnacheza na kina Flamingo sijui Santos mnajiona mmekamilika🤣🤣🤣....na bdo mtadundwa sana....ila J2 mjikaze muache ufala
Liva kideri tunapga kama mtoto wetu.
 
J2 mna kazi moja tu kushinda....acheni vrsingizio majirani....Livakuku pulling imeshaisha.... Tunawaomba sana mkaze makalio uwanjani...na kadi za kilofalofa hatutaki....mechi tatu mfululizo mnakula red card....inaonesha mna kikundi Cha wahuni humo ndani
Kwa sababu ya Arsenal kesho tukifungwa nitafurahia 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Leo dhidi ya Liverkuku - Vibonde

Hawa hawatakuwepo kwa sababu ya Majeruhi
1) Trevoh Chalobah - Kadi Nyekundu - 2025-10-18
2) Andrey Santos - Knock - 2025-10-18
3) Wesley Fofana - Head - 2025-10-18
4) Tosin Adarabioyo - Calf- 2025-10-18
5) Cole Palmer - Groin - 2025-10-18
6) Levi Colwill –ACL – 2026-06-01
7) Liam Delap - Hamstring - 2025-11-22
8) Dario Essugo - Thigh- 2025-12-31

Lineup -4-2-3-1

------------ Joao Pedro------------

Estevao --------Enzo ----------Neto

------Lavia ---------Caicedo-------

Cucurella --Badiashile --James--Gusto

-------------Sanchez----------------

Bench
1. Jorgensen
2. Acheampong
3. Hato
4. Facundo
5. Walsh
6. Garnacho
7. Gittens
8. George
9 Mheuka
1759555594854.png
 
View attachment 3482989
Sema nini timu bado ina watu, sema kocha ndio akili ndogo.
 
Ukimuweka Estevao upande wa winger wa kushoto na yeye anatumia nguvu wa kushoto utamuona liability ni Bora akae benchi au umuweke winger wa kulia hivyo hivyo sawa kwa Neto kwa maana hiyo winger wa kushoto kwa maana yoyote ile lazima acheze Garnacho ndio impact inaonekana
 
Garnacho namuona anafaa kuliko Gittens lakini bado ana maamuzi ya mwisho yasiyo mazuri. Ila anayo uwezo wa kupeleka mipira ndani ya penalti box kitu ambacho Gittens bado anastrugle. Basi aanze Neto kulio na Estevao aingie baadaye, neto akichoka
 
Mawinga shazi ila ni matakataka , nyie wenyewe mnabishana hamjui nani acheze ! Aliyemsajili Gittens apigwe risasi ... Garna boy soon mtamkatakaa.... mbwembwe nyingi end product zero.. alafu kachoyo... Ego
 
Garnacho sio mchoyo angalau kwa sasa. Kushoto ndiye anayeweza kuingiza mipira kwenye penalti box kwa cross, V pass, chipp, cut-back, ana mbio na yuko na experiences na ligi. Akitulia ni wingwer wa 115-20 G/A
 
Mawinga shazi ila ni matakataka , nyie wenyewe mnabishana hamjui nani acheze ! Aliyemsajili Gittens apigwe risasi ... Garna boy soon mtamkatakaa.... mbwembwe nyingi end product zero.. alafu kachoyo... Ego
Pamoja na kwamba sio mzuri kivile kwenye final product but kwa pale man u ndio alikuwa atatakwimu nzuri kuliko mchezaji yoyote
 
Labda
Ila leo tukishinda, cjui
njaa, sioni tukishinda mbele ya Liver huyo Benfica tu tuliambulia goli la papatu papatu.

Yani Chelsea yetu kuna shida kubwa sana yani kuna mda unaona km imetulia na inaweza kushindana na timu yoyote ghafla inakushangaza inavyohangaika kupata ushindi hata kwa timu ndogo tu acha na hizo kubwa

Kushinda leo labda miujiza tu itokee
 
Kwa hio wanetu tumekubaliana CBs wetu ni Badiashile na Achaempong game ya liva ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom