juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Maresca anaweza kuwa ni tatizo mojawapo ila tatizo sugy liko kwa wale wa SD, tumeshindwa tatua matatizo yetu sugu tumeacha,CB,GK, Proven LW tumeaacha wote haoNgoja Leo nitangaze kabisa Sina Imani Tena Maresca, huyu kocha ni Kama vile hajui Nini anataka huu msimu huwezi kuwa bingwa Kama unashindwa kuifunga team mbovu Kama Man U, sub zake zinaonesha ni kocha wa middle table kosa la Kwanza selection yake ya kikosi ilikuwa sio nzuri unamchezesha vipi Estevao Left winger wakati hiyo nafasi una Garnacho na Gittens pili kitendo cha kumn'gan'gania Enzo Fernandez wakati kiwango chake kimeshuka kinaonesha ni kocha aliyekosa ambitious za kuwin game. Tulivyopata red card zile sub alizofanya ya kuwatoa Estevao na Pedro Neto kwa pamoja imeonesha ni kocha alikosa maarifa lakini cha ajabu zaidi ni kitendo cha kumuingiza George badala Garnacho pia niliishiwa pawa kabisa. Nawaambia tu mashabiki wenzangu tusiwe na matarajio yoyote msimu huu Kama Maresca ataendelea kuwa kocha wetu.Na speech zake huwa hazihamasishi team kupambana
As long as wale SD wapo tutaendelea hivi hivi,Ukishakuwa na SD wanaotoka team ndogo basi na akili zao zinawaza huko huko,
Tulihitaji 3 WC player wakutuelevate kutoka hapa tulipo na kutupeleka mbele,
Yule Maresca kujifanya anaakili nyingi kumbe hamna kitu. Yani How unawatoa Neto na Estevao kwa pamoja wakat unahitaj watu wenye pace na kushambulia kwa kushtukiza Na unahitaj runner