Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,376
- 80,248
Kama kuna sehemu nilisema Chelsea Msimu huu ni Tittle 🏆 Contender Mnisamehe nitakuwa nililewa
Chelsea ni wazuri sana kwny kusajili na kuuza wachezaji...ila njoo uwanjani sasa🤠🤠🤠.....wanachokicheza wanakijua wao....Madueke atakuwa anachekea chooni Leo🤠🤠🤠Kama kuna sehemu nilisema Chelsea Msimu huu ni Tittle 🏆 Contender Mnisamehe nitakuwa nililewa
Wale Migos ni miyeyusho sana 😀 😀Chelsea ni wazuri sana kwny kusajili na kuuza wachezaji...ila njoo uwanjani sasa🤠🤠🤠.....wanachokicheza wanakijua wao....Madueke atakuwa anachekea chooni Leo🤠🤠🤠
Man united 2 vs Chelsea 1🤣🤣🤣 Pipi tunakuomba tuko chini ya miguu yako mechi ijayo dhidi ya Chelkenge usifanye prediction😁😁😁
Tumekuja kugundua unatuhujumu mkuu...kuanzia Leo usitabiri mechi zetu sisi Manyumbu a.k.a Manunu....tutakuwa tunawalaza wapinzani na viatu kama Leo🤠🤠Man united 2 vs Chelsea 1 View attachment 3476793
Ukiwatembelea hapa jukwaani kwao sasa wanavyopeana moyo aisee 🤠🤠🤠....mpk unajiuliza huu ujqsiri wanatoa wapi....Wale Migos ni miyeyusho sana 😀 😀
Bado mapema mkuu...tupo na nyny mpk muanze Maresca out🤠🤠...kama kawaida yenuHuyu Mgosi hakuna atakapotufikisha.
Kama kuna sehemu nilisema Chelsea Msimu huu ni Tittle 🏆 Contender Mnisamehe nitakuwa nililewa
Maresca mpk sasa hatumdai, ndani ya muda mfupi ameshatupatia makombe. Ningekushauri ungeelekeza nguvu zako kw kigiwi kwanza, mana ana miaka nane mpk sasa halafu hana mafanikio yoyote.Bado mapema mkuu...tupo na nyny mpk muanze Maresca out🤠🤠...kama kawaida yenu
Mzee Carragher aliliita lile ni Micky mouse cup ...mashindano timu zimeenda kutalii Marekani mnaita kombe.....lile lilikuwa ni bonanza mkuu....sasa ndo upo kwny makombe halisi....j5 mmedundwa na jana mmedundwa....tunaangalia mechi ijayo mnacheza na nani tuchungulie tena🤠🤠🤠Maresca mpk sasa hatumdai, ndani ya muda mfupi ameshatupatia makombe. Ningekushauri ungeelekeza nguvu zako kw kigiwi kwanza, mana ana miaka nane mpk sasa halafu hana mafanikio yoyote.
😂😂😂Kama kuna sehemu nilisema Chelsea Msimu huu ni Tittle 🏆 Contender Mnisamehe nitakuwa nililewa
FIFA Club world cup na UEROPA comference cup sawa ni micky mouse cup, ndani ya miaka nane tapeli kiwigi anayo hayo mangapi?Mzee Carragher aliliita lile ni Micky mouse cup ...mashindano timu zimeenda kutalii Marekani mnaita kombe.....lile lilikuwa ni bonanza mkuu....sasa ndo upo kwny makombe halisi....j5 mmedundwa na jana mmedundwa....tunaangalia mechi ijayo mnacheza na nani tuchungulie tena🤠🤠🤠