Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Barcelona, Napoli, Atalanta hakuna point mtapata kutoka kwao labda sare na Benfica
 
Wanetu mnashinda ngapi Leo? Mbona uzi umepooza kama mlenda.....

Mnaiogopa Utd iliyojifia inajitafuta ?
 
Mpo wote 9 uawanjani ila timu imejaa mabeki bado anaogopa kufungwa nyingi na man u ambayo ni mbovu
 
Naona kwa moyo mkunjufu mumempa Flano kibali cha kunya mavi kwenye huu uzi hadi mwakani mtapokutana tena na manyumbu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom