Chelsea ndio wameonesha hawapo serious maana Wameingia makubaliano na mchezaji alafu hawataki kupeleka dau kwa RB Leipzig ukiwa Kama mchezaji wewe unafanyaje alafu chakushangaa wamefanya fasta kwa GarnachoKila nikikumbuka Tuliaminishwa Simon anaitaka Chelsea tuu kufa kupona nachoka 😂