Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pressure ya team imechangia jamaa kuondoka, Palmer akiwa chini ya kiwango huwa hazungumziwi Kama Jackson alikosa magoli hata kama hiyo mechi kacheza vizuri kasoro kufunga goal in short Jackson ndio mchezaji aliyekuwa anaongoza kwa kusema vibaya hii imefanya hakose furaha
Jackson hasemwi vibaya kwa bahati mbaya. Mentality yake inamuangusha sana. Alipaswa kuwa mvumilivu aangalie ubora wake uko wapi na madhaifu yalipo arekebishe, sasa kujiona msimu mzima yeye ndio striker anakosa magoli kizembe tena mfululizo halafu sasa ni black shtuka wazungu hawawezi kukufumbia macho.
 
🚨🔴⚪️ BREAKING:
Nicolas Jackson kwenda Bayern, HERE WE GO!
Dili lilikubaliwa na Chelsea kwa uhamisho wa mkopo wa awali.
Ada ya mkopo ya €15m kwa msimu mmoja pamoja na kipengele cha chaguo la kununua si lazima kwa kifurushi cha €80m na kifungu cha mauzo.
Jackson, atasafiri kwa ndege hadi Bavaria pamoja na wakala wake Ali Barat kutoka Epic Sports.

View attachment 3458455
Mkopo wa Nicolas Jackson ndio wa nne kwa ugahli katika dunia na historia ya soka

Top 5 Most Expensive Loan Fees

RankPlayerLoaned ToLoan Fee (€)Year
1️⃣Álvaro MorataJuventus€20 million2020
2️⃣Álvaro MorataAtlético Madrid€18 million2019
3️⃣Giovani Lo CelsoTottenham Hotspur€16 million2019
4️⃣Nicolas JacksonBayern Munich€15 million2025
5️⃣Jhon DuránFenerbahçe€15 million2025
 
Ebu tumjadili huyu takataka anayeitwa Robert Sanchez
Amezungukwa na difensi mbovu lakini katika mec hi 64 hadi sasa anazo cleansheets 20
1756561431941.png
 
Liam Delap amepata majeruhi na atakuwa nje kwa wiki sita hadi nane
  1. Brentford (a)
  2. Bayern (a) - UCL
  3. United (a)
  4. Brighton (h)
  5. Benfica (h) - UCL
  6. Liverpool (h)
  7. Lincoln (a)
Atakosa mechi 7—mechi 4 za EPL, 2 za UCL na 1 ya Carabao Cup. 🛑⚽️
Huu ni wakati mzuri kwa Andrey Santos kuanza mechi kadhaa, huku Pedro akicheza kama namba 9.
Ni nafasi ya vijana kuonyesha uwezo wao na kuchukua majukumu kwa ujasiri. 🔥💪

1756564072398.png
 
Japo Enzo Fernandez kafunga lakini hajacheza vizuri sio tu hii game tangu game ya kwanza
 
🚨 EXCLUSIVE: Chelsea inform Bayern Munich they will not be proceeding with proposed loan of Nicolas Jackson after injury to Liam Delap. 24yo striker travelled to Germany for #FCBayern move but #CFC requested Senegal int’l returns to London @TheAthleticFC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom