Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,122
- 16,194
Yani timu yenu nafasi moja ina zaidi ya watu 6🚨🔵 HABARI MPYA: HERE WE GO
Alejandro Garnacho kujiunga na Chelsea, ni rasmi!
✅ Makubaliano yamekamilika kati ya #CFC na Manchester United.
Garnacho alitaka Chelsea tu. Atasaini mkataba wa miaka 7 na ada ya uhamisho karibu £40 milioni.
Mpango wa muda mrefu. Blue imepata moto! 🔥💙 #Garnacho #ChelseaFC #Usajili2025
View attachment 3456678