lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,691
- 25,901
Naona Chelsea hawakupenda jinsi RB Leipzig wanavyofanya biashara, na Chelsea kumbuka juzi juzi tu walipigwa faini na kupewa masharti ya kuwasaini UEFA wachezaji wapya. Mimi naona sababu kubwa ndio hiyo. Chelsea hawakutaka kumnunu8a Simons kwa pesa kubwa ukichukulia pingamizi ya UEFA na pia anakuja kuwa backup ya Cole PalmerUnajua Xavi Simons alifika muda akawa anawafollow wachezaji wa Chelsea haikuishia hapo pia alicomment pia kwenye page ya Chelsea Instagram kwenye utambulisho wa Joel Hato alafu unataka tusiamini media kweli?