Bro nime ku reply hapo juu kwamba ili huyo Xavi wako aje inabidi matakataka Jackson na Nkunku yatoke kwanza, bila hivyo sahau kabisa kumuona Xavi wako Chelsea labda kwenye ndoto ukiwa umelala.
Inshu kubwa hapo ni kubalance mahesabu kwenye daftari, endapo Chelsea ikafanya huo usajili bila hao takataka kutoka basi huko mbeleni tutapigwa rungu. Ndio maana unaona hilo dili limekuwa gumu sana, inshu sio hela, hela ipo.
Na suala la takataka Garnacho hilo halihusiani na mahesabu kwenye daftari, kinacho chelewesha hilo dili ni NYUMBU wanataka hela nyingi.