Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Estevao Willian jana alikmuwa ndiye MOTM. Naona atazitwaa sana hizo myeye na Cole Palmer
1754723741730.png
 
Bado wewe hujaelewa. Wamiliki wa Chelsea wanasajili kwa malengo mawili, ninyi mashabiki mnang'ang'ana na mchezaji anayeweza kucheza uwanjani tu ila kwenye market opportunity hamuangalii.
Malengo ya usajili
  1. Kuwa na pool ya kutosha ili kocha achague wa kwake wanaofit kwenye mfumo
  2. Wanaobaki wauze kama wana faida au watolewe mkopo ili wakaimarike wauzwe kwa faida
Garnacho aklija akafanya vizuri watabaki kupena rotation na ushindani na Gittens. Akishindwa kufitin atauzwa kwa faida na ndio maan wamiliki hawtaki kumnunua kwa mahela mengi. Market opportunity.

Timu hadi sasa imesukwa vizuri na bado hamuwaamini scout, SD na wamiliki?

Kwa approach hii naiona Chelsea ikimudu kuwa na nguvu ya pesa ya kusajili wakati wowote na pia kuwa na timu imara yenye kuweza kushindana kwenye ligi zote

Kudos Wamiliki
Kudos SDs
Kudos Maresca
Chemistry imematch
Imeshindwa kunielewa sijasema garnacho ni mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri ila concern yangu iko hivi Chelsea itawezaje kusajili wachezaji wote watatu kwa dirisha hili moja yaani imsajili Garnacho, Xavi Simons na beki wa kati wakati hapo hapo tunahitaji kubalamce vitabu ndio maana nikaona Bora tusajili Xavi Simons na beki wa kati Kama priority yetu kwanza
 
Garnacho pekee yake ndie anasajiliwa kwa ajili ya second option kwenye LW
Xavi Simon anasajiliwa mainly for a number 10 au attacking mildfielder pamoja na Palmer na Enzo Fernandez.
Jamie Gittens Na Garnacho pamoja labda na Delap ndio wachezaji pekee Chelsea wasioweza kucheza zaidi ya nafasi moja vizuri

Mfano

Joaj Pedro amesajiliwa ili

João Pedro anatarajiwa kuwa mchezaji wa kiungo cha ushambuliaji katika mfumo wa Maresca — akishuka katikati kusaidia ujenzi wa mashambulizi, akicheza kwa ubunifu na kufanya harakati za busara bila mpira ili kufungua nafasi. Si mfungaji tu, bali ni kiungo muhimu wa kuunganisha safu ya kiungo na ushambuliaji katika soka la kumiliki mpira.

Xavi Simon
Xavi Simons anatarajiwa kuwa kiungo mshambuliaji mwenye ubunifu katika mfumo wa Maresca — akicheza kati au pembeni, akisaidia ujenzi wa mashambulizi kwa pasi za hatari, dribbles zenye kasi, na uwezo wa kufunga kutoka mbali. Ataleta nguvu mpya, ufanisi wa kiufundi, na kubadilika kwa nafasi ili kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Chelsea.

GIttens na Garnacho kama alivyo Pedro na Estevao willian
Wao kama mawinga kazi yao kubwa ni kupanua uwanja ili wale wa katikati kama Fernandez, Palmer, Simons na Joao Pedro waweze kucheza vizuri na kufunga mabao, kutoa assists au kutengeneza nafasi zile za mwisho.
Hao wawili wamefanana kidogo uchezaji wao na lengo ndio hilo

Simons hasajiliwi ili aje kucheza LW japo anaweza kucheza LW.
Hata hivyo upande wa pili wa umuhimu wa mchezaji ndio maana n ilisema hujaelewa
Hawa wachezaji wote inaweza kwa bahati mbaya mmojawao asifae vizuri kama ilivyotarajiwa, basi ikitokea hivyo anauzwa na hata asipopatikana mbadala wake Chelsea haitapungukiwa na kitu kwa sababu wachezaji wengine wanaoweza kucover hiyo nafasi wapo. Garnacho ni mchezaji mdogo ambaye inategemewa hata kama hatafit kwenye mfumo wa Maresca kama ilivyokusudiwa bado anaweza kuuzwa kwa bei nzuri
 
Nabadilisha msimamo wangu, Garnacho asajiliwe ila kwa bei rahisi ili kumuuza iwe rahisi kwa nini nasema hivi. Kumbe tunaye Geovany Quenda, huyu naye moto akija msimu ujao Gittens asipoangalia atatafuta mlango wa kutokea. Smahani sana Cash Money Forever lakini huyu Gittens wako tafuta wa kumpeleka July 2026. 2026 tutauza sana wachezaji wazuri kwa bei kubwa na hawa wamiliki ndicho walichokuwa wakitaka. Utawezaje kuwachezesha Geovany Quenda na Jamie Gitten kwenye LW moja?
 
Garnacho pekee yake ndie anasajiliwa kwa ajili ya second option kwenye LW
Xavi Simon anasajiliwa mainly for a number 10 au attacking mildfielder pamoja na Palmer na Enzo Fernandez.
Jamie Gittens Na Garnacho pamoja labda na Delap ndio wachezaji pekee Chelsea wasioweza kucheza zaidi ya nafasi moja vizuri

Mfano

Joaj Pedro amesajiliwa ili

João Pedro anatarajiwa kuwa mchezaji wa kiungo cha ushambuliaji katika mfumo wa Maresca — akishuka katikati kusaidia ujenzi wa mashambulizi, akicheza kwa ubunifu na kufanya harakati za busara bila mpira ili kufungua nafasi. Si mfungaji tu, bali ni kiungo muhimu wa kuunganisha safu ya kiungo na ushambuliaji katika soka la kumiliki mpira.

Xavi Simon
Xavi Simons anatarajiwa kuwa kiungo mshambuliaji mwenye ubunifu katika mfumo wa Maresca — akicheza kati au pembeni, akisaidia ujenzi wa mashambulizi kwa pasi za hatari, dribbles zenye kasi, na uwezo wa kufunga kutoka mbali. Ataleta nguvu mpya, ufanisi wa kiufundi, na kubadilika kwa nafasi ili kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Chelsea.

GIttens na Garnacho kama alivyo Pedro na Estevao willian
Wao kama mawinga kazi yao kubwa ni kupanua uwanja ili wale wa katikati kama Fernandez, Palmer, Simons na Joao Pedro waweze kucheza vizuri na kufunga mabao, kutoa assists au kutengeneza nafasi zile za mwisho.
Hao wawili wamefanana kidogo uchezaji wao na lengo ndio hilo

Simons hasajiliwi ili aje kucheza LW japo anaweza kucheza LW.
Hata hivyo upande wa pili wa umuhimu wa mchezaji ndio maana n ilisema hujaelewa
Hawa wachezaji wote inaweza kwa bahati mbaya mmojawao asifae vizuri kama ilivyotarajiwa, basi ikitokea hivyo anauzwa na hata asipopatikana mbadala wake Chelsea haitapungukiwa na kitu kwa sababu wachezaji wengine wanaoweza kucover hiyo nafasi wapo. Garnacho ni mchezaji mdogo ambaye inategemewa hata kama hatafit kwenye mfumo wa Maresca kama ilivyokusudiwa bado anaweza kuuzwa kwa bei nzuri
Mimi binafsi ninaanza kuingia wasiwasi tunaweza tusimsajili Xavi Simons
 
Newcastle imefunga milango kwa Alexander Isak kwenda Liverpool
Maana yake ni nini hasa kwa taarifa hizi:

Uamuzi huu utaathiri matarajio mazima ya Liverppool kwenye kutetea Ubingwa. Isak angeihakikishia Liverpool ubingwa.

Lakini kwa Hugo Ekitike, sioni Liverpool ikitoboa

1754738071144.png
 
Sawa Mwenyekiti. Naamini Gittens atakuwa mchezaji muhimu zaidi kikosini. Wacha msimu uanze
Msimu huu Gittens asiwe kama Jackson, misimu miwili amekuwa untouchable akabweteka kumbe siku zake zilikuwa zikihesabika tu, hajui kuwa Chelsea ni timu kubwa, Tulimnunua Lukaku kwa 100m tukamuuza hata bila kutuchezea sana kwa mil 40.
Quenda akija akamkuta Gittens akibabaisha kama Jackson atapigwa nje akibaki anashindwa hata kushangaa
 
Mkuu wanasema samehe mara 7 mara 70. Potezea inapotokea mtu kukukwanza haya maneno si mazunri kwa watu wanaishi nyumba moja hata kama ni wa mpinzani.
Huyu dogo ananiletea mambo ya kishamba sana, mpk na mm nimeonekana ni mtu wa hovyo. Eti kisa tu nilimwita Estevao boya basii ndio kimemuuma dah!

Ingekua JF inaonyesha ni watu wa aina gani na aina gani wamo humu, huyo dogo asingekaa akathubutu kumvaa mtu kindezi ndezi.
 
Angalia uso wa Estevão Willian baada ya kukosa hiyo nafasi — majuto ya kweli. Alijua ilikuwa muhimu. Kama ingekuwa Noni Madueke, angecheka tu kama mzaha. Hapo ndipo tofauti iko kati ya winga makini na anayechukulia mambo kimzaha. 💭⚽
 
Kuna taarifa zimevuja kwamba Nicolas Jackson ameanza kuonyesha jeuri na hayuko tayari kuwa chaguo la mwisho kwenye nafasi ya striker. Anataka yeye ndie awe kipaumbele. Sasa kama kawaida yake Maresca hataki tena na yeye na Nkunku hawataichezea Chelsea tena wako sokoni kuuzwa mwezi huu. Kwaheri Jackson tulikupenda ila wewe jeuri yako imekupoteza. Natumaini huko utakakokwenda utafanikiwa kama Mohamed Salah
View attachment 3435455View attachment 3435456
Oya ,madogo naona wako serious na kazi msimu huu ,tutakichafua sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom