Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe jamaa ni mnafiki sana, wewe si ndio ulikuwa una mtetea Jackson kipindi nikiwambia huyo jamaa ni takataka.
Krosi za Pedro Neto zimempata mteja
Joao Pedro na Liam Delap
Nicolas Jackson alikuwa akizipoteza na kupotezea, bora aondoke alic=tuchelewesha sana
 
Wewe ni takataka kabisa, mimi nilimetetea akiwemo Chelsea na nilisema wazi mchezaji akisajiliwa upgrade yake nitamtetea. Siwezi kumtetea tena Jackson wakati upgrade yake ameletwa. Mashabiki wote wako hivyo tofauti na wewe kila mtu takataka kwako wamiliki, SD, kocha wachezaji. Wala usiniweke mizani moja na wewe kwa sababu wewe ni shabiki wa ajabu sana
Hata delap sio takataka kama anavyomuita ndo hvyo ni type ya mastriker wa kizamani..mambo ya link up play hawezi ila ni finisher mzuri sana apate service tu
 
Gittens alicheza vizuri kwa namna kocha anavyopenda winga wake acheze Kwanza harudishi mipira nyuma anaforce mashambulizi na amejaribu pia kwenye kufunga, ninachoona kwa mdau mpaka anasema kacheza vibaya kwa ya kukosa magoal lakini pia Kuna wakati yule beki wa Milan alikuwa anamzidi nguvu za mwili kwa mara chache
 
Hata delap sio takataka kama anavyomuita ndo hvyo ni type ya mastriker wa kizamani..mambo ya link up play hawezi ila ni finisher mzuri sana apate service tu
Liam link up anajua bwana kwani ile penalty ilianzia kusababishwa na nani? ni cross nzuri iliyopigwa na Liam Delap kwenda kwa Estevao sema ni kwamba sio mchezaji wakupaka mpira sana lakini sio kwamba ajui kulink na wenzake
 
Anachosema John ni sawa kabisa. Delap uchezaji wake sio ule wa kudrop na kuwachezesha wenzake kama anavyofanya Joao Pedro au Harry Kane. Runs za Joao zinatosha kuwapa mwanya wenzake kufunga. Tofauti Delap anazo runs chache sana na huwezi mwona akidrop deep kama Joao Pedro na akifanya hivyo ni very rare. Kusema hivyo haina maana ni mchezaji mbovu, ni profile yake wachezaji hawafanani hata siku moja. Na kila mmoja kasajiliwa kwa umuhimu wake kulingana na kocha anataka kuwatumiaje kwenye mechi husika. Hii atafaa Delap na ile atafaa Joao ili mradi maisha yasonge mbele, tushinde mechi tubebe makombe. Mwisho wa siku watakuja akina TAKATAKA na kusema Delap ni takataka, Maresca ni takataka
 
Labda hamjui maana halisi ya link up mnachanganya na kuwachezesha wenzake, link up maana ni touch unazocheza kabla ujafunga goal au kufanya any attempt hizo anaweza labda ujamfuatilia akiwa Ipswich kumchezesha wenzake ni mara moja moja sana sio vitu vyake
 
Ngoja ligi ianze hao wote utawakataa. Tatizo nyie mna danganywa na matokeo ya muda mfupi, ata kwa Havertz ilikuwa hivi hivi eti kisa alifunga goli kwenye fainali ya UEFA basi mkawa mnamtetea sana hapa.
Sijawahi kumkubali Kai havertz huyo Gittens alishaonesha uwezo kwenye michuano ya UEFA champions league akiwa na Dortmund so huwezi kumwita takataka, Delap ndio aliebaba Ipswich na alivyokuja kupata injuries ukaona Ipswich ilivyopotea how comes unamuita takataka? Kama kule alizungukwa na wachezaji wasio na uwezo mkubwa na bado akaonesha uwezo atashindwaje Chelsea yenye wachezaji wengi wazuri? Jamaa ana mentality ya upambanaji na ndio maana sijapinga usajili wake, huyo Hato unayesema ni takataka kachezea team ya Taifa mechi 100+ Tena akiwa na 18 na 19 age only na pia amekuwa kamptain kwenye team ya vijana kabla hajapandishwa kwenda team kubwa, ana experience ya kucheza UEFA champions league akiwa na Ajax na defender mwenye takwimu nzuri hapo kumbuka ana miaka 19 only unawezaje kumuita ni takataka? Tukija kwa Laiva kabla utajamsajili alikuwa anaenda Liverpool walikubaliana kila kitu but Chelsea wakaingia deal ndipo kijana akachange GIA angani akaja kwetu competition yetu na Liverpool ilikuwa kubwa kwasababu mchezaji alikuwa ni mzuri. Haya mchezaji akaja kwenu hivi nikuulize kwanini kila game ngumu tukicheza huwa haanzi Enzo middle ya Kati hasa Lavia akiwa mzima na badala yake atacheza Laiva na Caicedo umewahi kujiuliza ni kwanini? Na huwa unaangalia mpira game inakuaje? Hivi ukiangalia tulivyocheza na Liverpool anfield namna Laiva alivyoikamata ule mchezo mpaka Liverpool waliomba mpira uishe mkuu sometime punguza ujuaji na malakamiko yasio na msingi
 
Yeye tayari anamuita takataka hata akicheza vizuri atamuona. Mimi sikumjua Gittens alivyokuwa BVB lakini kwa mechi mbili alizocheza ni mchezaji aliye direct na anawaona wenzake tofauti na Madueke. Hata Garnacho akija hatamkuta. Garnacho anao ubinafsi fulani kama wa Madueke. Gittens ni mkarimu na pasi zake.
Jana alicheza vizuri japo mimi sikuangalia kipindi cha kwanza ila kwa kucheki re-play alicheza vizuri. Wachezaji wote washambuliaji waliosajiliwa ni upgardxe ya hao tunaowaondoa
 
Balloon D'or inaweza letwa na kijana kama tutafanya vizuri kwenye ligi na champions league
 
Attachments

  • tier_fiirst_1954775250261983569(360P).mp4
    1.9 MB
Balloon D'or inaweza letwa na kijana kama tutafanya vizuri kwenye ligi na champions league
Hiyo inaitwa skewed kick, hakuna kipa anaweza kudaka hiyo. Ni bahati mbaya tu iligonga post kwa nje, ingegonga post kwa ndani ikaingia ingekuwa bonge la free kick
 
Timu za London na makombe msimu wa 2025

1754921872119.png
 
Alejandro Garnacho bado anaisubiri Chelsea. Amezima simu hataki kuongea na timu zingine. Matarajia yake yote yako kwenye jiji la London. Naona labda ameshanunua nyumba ya kuishi hapo kama Willian alivyong'ang'aniaga London.
Yuko tayari huisubiri Chelsea hadi dakika ya mwsho wa dirisha la usajili.
1754926887543.png
 
View attachment 3438521
Hasipo sajiliwa sijui atajisikiaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom