John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Huyo Jamie gittens naona n upgrade kabisa ya madueke ....
leo nimethibitisha kuwa Liverpool ndio tishio kwa vilabu vingine pale EPL. ila ukumbuke kuna mguu wa Mo SalahNewcastle imefunga milango kwa Alexander Isak kwenda Liverpool
Maana yake ni nini hasa kwa taarifa hizi:
Uamuzi huu utaathiri matarajio mazima ya Liverppool kwenye kutetea Ubingwa. Isak angeihakikishia Liverpool ubingwa.
Lakini kwa Hugo Ekitike, sioni Liverpool ikitoboa
View attachment 3436655
🤣🤣🤣Kumtaja mchezaji wangu Gittens bila kunishirikisha/kunitag ni kunikosea heshima. Tuheshimiane chief.
YES boss, tusubiri basi ligi ianzeleo nimethibitisha kuwa Liverpool ndio tishio kwa vilabu vingine pale EPL. ila ukumbuke kuna mguu wa Mo Salah
Huyu Joao Pedro goli 5 mpk Sasa akiwa na Chelsea🔥Tupeni link ya kucheki ball
Unacheki app ipiHuyu Joao Pedro goli 5 mpk Sasa akiwa na Chelsea🔥
Nafuatilia kupitia livescore tu sahv nipo nacheki mechi ya liverkuku...Unacheki app ipi
Angalia web hii www.fawanews.scTupeni link ya kucheki ball
Mechi 5 goli 5Huyu Joao Pedro goli 5 mpk Sasa akiwa na Chelsea🔥
Hao CP uliwaona wakicheza vs top team msimu uliopita kabla ya kuwajudge LiverpoolHawa liver wakuu mi naona hawana jambo kabisa
NAwatambua vzuri sana ...ila hata hvyo Liverpool wamekuwa kawaida sana leoHao CP uliwaona wakicheza vs top team msimu uliopita kabla ya kuwajudge Liverpool
Mo Salah vs Crystal Palace:leo nimethibitisha kuwa Liverpool ndio tishio kwa vilabu vingine pale EPL. ila ukumbuke kuna mguu wa Mo Salah
Chelsea vs AC MilanChelsea vs AC Milan
--------Joao Pedro---------
Gittens---Palmer---Neto
--Enzo---------Caicedo--
Cucurella--Chalobah--Tosin--James
--------Sanchez-------
Subs
1. Jorgensen
2. Slonina
3. Acheampong
4. Anselmino
5. Hato
6. Gusto
7. Antwi
8. Santos
9. Walsh
10. Rak-Sakyi
11. Essugo
12. Willian
13. George
14. Delap