Kwa maana hy chalobah hatouzwa, safi sana.Uongozi hauna mpango wa dharura wa kumnunua beki mmbadala wa Levi Colwill
Uongozi unaimani kubwa kwa kikosi kilichopo na hasa kwa usajili wa hivi karibuni wa Jorrel Hato na anaweza kucheza nafasi ya CB/LB.
-Fabrizio Romano
View attachment 3435445
LCB niDuh Hilo ni pigo kubwa na Option za mabeki tuliobakia nao baada ya injury ya muda mrefu ya colwill ni:
Chalobah
Tosin
Hato
Fofana
Badiashille
Anselmino
Kuna uwezekano huyu anselmino asipelekwe kwa mkopo baada ya hyo injury....aisee mbona km nyuma tutakuwa weupe sana😂... Ingawa defence yetu kwenye club world cup wameonyesha ukomavu flan
Joao Pedro kwangu ndio best signing in term attributes he hasMawazo yako hapo, usajili mbaya au mzuri
Hapo anakosekana tu Xavi Simons na Alejandro Garnacho
View attachment 3436132
Hapo katikati nimepapenda Santos na CaicedoChelsea vs Bayer 04 Leverkusen saa tatu usiku
----Delap----
George---Palmer---Estevao
--Santos--Caicedo--
Cucurella--Chalobah--Acheampong--Gusto
----Jorgensen----
Subs:
- Robert Sánchez
- Gabriel Slonina
- Tosin Adarabioyo
- Aaron Anselmino
- Jorrel Hato
- Reece James
- Collins Antwi
- Enzo Fernández
- Jesurun Rak-Sakyi
- Dário Essugo
- Jamie Bynoe-Gittens
- Pedro Neto
- João Pedro Junqueira de Jesus
View attachment 3436154
Bado Estevao hajacheza, Bado Hato hajacheza, Bado Jamie Gittens hajacheza, Bado Esugo hajapewa muda wa kutosha kuonyesha makali yake, Ila mpaka sasa Joa Pedro anaonekana atakuwa wa moto sana na ndio maana Jackson anataka kukimbia huko kwenda kwenye timu ndogo size yakeJoao Pedro kwangu ndio best signing in term attributes he has
Kocha kasema wachezaji wote watacheza leo. Kipindi cha pili utashangaa Gaga, Anselmino wataingiaKitu ambacho Mimi sipendi ni huyo Aaron Anselmino kwanini hapewi nafasi kabisa tumuone
Christopher Nkunku na Nicolas Jackson hawajachaguliwa. Wote wawili wanatarajia kuondoka Chelsea msimu huu wa jotoChelsea vs Bayer 04 Leverkusen saa tatu usiku
----Delap----
George---Palmer---Estevao
--Santos--Caicedo--
Cucurella--Chalobah--Acheampong--Gusto
----Jorgensen----
Subs:
- Robert Sánchez
- Gabriel Slonina
- Tosin Adarabioyo
- Aaron Anselmino
- Jorrel Hato
- Reece James
- Collins Antwi
- Enzo Fernández
- Jesurun Rak-Sakyi
- Dário Essugo
- Jamie Bynoe-Gittens
- Pedro Neto
- João Pedro Junqueira de Jesus
View attachment 3436154
Hii ni priseason tu, watacheza wote. HT itakuwa ni timu nyingine kabisa hadi kipa mnatabadilishwaMbona Gittens hapangwi. Si nilisikia ni mchezaji mzuri sana. Kwanini hapewi nafasi anapangwa mbarara George
www.fawanews.scWakuu mwenye anajua Livestream ya mechi ya leo ya Chelsea atupie hapa
Na huyo aliyemuita boya kafunga kwenye game yake ya kwanza akiwa na Chelsea😂Wazee Mkohoti John dillinger msimu hajaanza wa kujenga nyumba tumeshaanza kunyang'anyana fito, punguzeni hasira, jukwaa hili ni la kuburudika, kuondoa stress na kushangilia timu yetu. Hakuna haja ya kushikana mashati.
Si ni marafiki ambao hatujuani, tuheshimiane tuu, kupitia jukwaa hili nimeshatengeneza ndugu wengi kwa kuonana nao ana kwa ana. Thus why namuheshimu kila mtu hapa, ushabiki wangu ni wa utani utani nikiamini tunaburudika.
Naomba mfunge mjadala wa kutupiana maneno makali. Sio utamaduni wetu hapa, naomba mshushe hasira wakuu
Bank ya Marekani tupo kazini.
Labda ataingia Cha piliKitu ambacho Mimi sipendi ni huyo Aaron Anselmino kwanini hapewi nafasi kabisa tumuone