Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna mashabiki walisema Estevao Willian anatakiwa kuadapt ligi ya ulaya. Huyu sio wale akina Madueke anayehitaji mechi 100 kujua naman ya kucheza. Dakiak 18 tu goli na zingekwua tatu. Mashuti yake km 250/saa sawa na mashuti ya Jackson an Broja ukichanganya pamoja. Kijanana mashuti nmkuliko umri wake. Sioni Pedro Neto akimuweka benchi Estevao na Madueke na Rio Ngumoha alijua hili ndio maana akatimua mbio kwend Arsenal na Liverpool.
1754679051266.png
 
View attachment 3436226
Dogo ana njaa ya mafanikio alafu ana mapenzi na team kiufupi safari hii scout team yetu imefanya kazi kubwa mno naona ni moja Kati ya sajili Bora tulizofanya msimu huu wewe angalia hata wale wachezaji tulikuwa tunawataka una kabisa wanakitu mfano mzuri yule striker wa Aston villa aliyeenda uarabuni na yule wa Porto
 
Bado Estevao hajacheza, Bado Hato hajacheza, Bado Jamie Gittens hajacheza, Bado Esugo hajapewa muda wa kutosha kuonyesha makali yake, Ila mpaka sasa Joa Pedro anaonekana atakuwa wa moto sana na ndio maana Jackson anataka kukimbia huko kwenda kwenye timu ndogo size yake
Ulisema Joao Pedro ndie sajili boira msimu huu nikakujibu sawa l;akin nbado Esetvao hajacheza, bado na hao wengine. Usiwe na presha ndg. Mwaka huu, msimu huu ni wa kuondoa aibu na mateso yote tuliyoachiwa na akina Lampard na Potter
 
Kama nilicyosema mwanzo Joao Pedro ndio usajili wetu Bora kwanini nimemtaja yeye ingawa wachezaji wote tuliowasajili wameonesha Wana kitu kuanzia Estevao, Essugo Kama vile ni Caicedo, Gittens,Hato na wengine, Kwanza Joao Pedro ni aina ya mchezaji tumekosa kwa muda mrefu huyu mwamba haitaji nafasi mbili ili akufunge, mchezaji wa kuamia matokeo alafu ni mpambanaji alafu anacheza kiteam Hongera sana team nzima ya Chelsea imefanya sajili nzuri kuliko madarisha yote ya usajili
 
Hivi nyie mna habari mkuwa Chelsea inacheza leo na Leverkusen? je mnajua kuwa Estevao kafunga bao la kujitambulishja darajani dakika ya 18 tu. Je mnajua amepiga mashuti yenye nguvu kuliko kamwili chake?. Acheni hayo mnayofanya, furahieni mpira. Chelsea ndio liyowafanya mkutane hapa Jamii Forums
Vipi na uchezaji wa gittens nasikia yupo vzuri sana hasa 1v1 yupo more direct
 
"Baada ya mechi, ngoja nitoe ya moyoni 💭⚽
  • Estevão Willian ni starter bora kuliko Pedro Neto 🌟
  • João Pedro ana utulivu wa kiakili zaidi ya Liam Delap, ambaye bado hajakomaa 🧠
  • Dário Essugo ni kama Moisés Caicedo — copy & paste, anahitaji tu kuzoea 💪
  • Andrey Santos tayari tunamfahamu, mchezaji safi bila drama 🎯
  • Jamie Gittens ni mnyama kwenye 1v1 🐆, alimtengenezea Estevão mpira wa dhahabu — bahati mbaya haukuingia 🎯
  • Tofauti na Madueke, Gittens huangalia wenzake badala ya mpira tu — ubora wake uko hapo 👀🤝
  • Caicedo alipotoka, Leverkusen wakapata pumzi kidogo — injini ya Chelsea ni yeye 🔧🔥
  • Palmer alipotoka, mashambulizi yakapoa — ni nguzo ya ubunifu wa Chelsea 🧠⚡
  • Pedro alipoingia, Estevão akahamia katikati — hakung'ara kama alivyokuwa kulia 📉
#Chelsea #BlueArmy #FootballTalk"
 
Xavi Simons ni muhimu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom