Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,162
- 104,739
Mkohoti na John dillinger ile mechi tuliyofungwa wakati mechi inachezwa waliweka lineups ila baada ya mechi kuisha lineups ikatolewa.
Toa tathmini yake jana alichezaKitu ambacho Mimi sipendi ni huyo Aaron Anselmino kwanini hapewi nafasi kabisa tumuone
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Ebu tuambie kuhusu mawinga wa msimu huu wa 2025/26 kama endapo Garnacho atajiunga kundini?
View attachment 3436393
Nimeshacoment waache, wakiendelea tuwaripoti wapigwe ban kwanza wakirudi watakuwa wameshapoaBaba mwenye nyumba "Chelsea FC Thread" hebu watulize watoto wako hao, wanatufanya sote tuonekane akili fupi sababu tu ya kupishana kwa hoja na ni kitu kisichoepukika pia huchangamsha jukwaa letu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nilisoma comment mahali kwa maana sikuweza kuiona mechi ..comment ilisema estevao William anafaa atokee kulia kama alivyoanza mechi ya Jana Kwasababu kwa huo muda alioffer vitu ambavyo madueke au Pedro neto hawawezi kukupa...hata huyo gittens naye namuona mzuri sana 1v1 si habaEbu tuambie kuhusu mawinga wa msimu huu wa 2025/26 kama endapo Garnacho atajiunga kundini?
View attachment 3436393
Muache basi kushindana na Mkohoti, kutofautiana hoja haitakiwi ifikie kwenye kutukanana. Mmoja ni lazima abackdown.Nilisoma comment mahali kwa maana sikuweza kuiona mechi ..comment ilisema estevao William anafaa atokee kulia kama alivyoanza mechi ya Jana Kwasababu kwa huo muda alioffer vitu ambavyo madueke au Pedro neto hawawezi kukupa...hata huyo gittens naye namuona mzuri sana 1v1 si haba
Ndio ninaona hakuna umuhimu wowote wakumsajili Garnacho Kama tukimsajili Xavi Simons badala yake tuongeze beki mmoja ili tu balance vitabu vyetu vizuriMaresca kuhusu kupata beki mbadala wa Levi Colwill:
"Ni kipaumbele [kuimarisha safu ya ulinzi] kwa sababu Levi ni mchezaji wa kipekee. Kile tulichofanikisha msimu uliopita ni kwa sababu yake. Alicheza mechi zote nami, nampenda sana, tutamkosa.
Ukweli kuhusu mabeki wanaocheza nafasi ya Colwill
Anselmino na Badiashile hawawezi kuchukua nafasi ya Levi Colwill 👟
Ingawa wote ni wachezaji wenye vipaji, bado hawajafikia kiwango cha uthabiti, uelewa wa mchezo, na uwezo wa kushika safu ya ulinzi kama Colwill. Colwill alikuwa na utulivu, uwezo wa kupiga pasi kutoka nyuma, na ujasiri wa kucheza dhidi ya washambuliaji wakali — kitu ambacho Anselmino bado anajifunza, na Badiashile hajathibitisha kwa kiwango cha juu mara kwa mara.
Nini kifanyike?
Sajili beki wa kati mwenye kiwango, au tubaki na waliopo Ikiwa hakuna usajili bora unaopatikana, ni busara kuendelea na waliopo kama Trevoh Chalobah au Sarr (kama atarejeshwa). Lakini kama kuna nafasi ya kuleta mtu wa daraja la juu, basi klabu inapaswa kuchukua hatua.
Futa mkopo wa Mamadou Sarr kutoka Strasbourg
Sarr ni kijana mwenye kipaji kikubwa, na alionyesha uwezo mzuri akiwa Strasbourg. Badala ya kumtoa kwa mkopo, Chelsea inaweza kumweka kikosini na kumpa nafasi ya kukua ndani ya mfumo wa timu.
Tukisajili mpya, chaguo bora ni Murilo, Guehi au Branthwaite
Sababu zangu ni hizi hapa
🔥🔵 Wote hawa wana uwezo wa kufikia au hata kuzidi kile Colwill alitoa — kwa hivyo kama Chelsea inataka kuimarisha safu ya ulinzi, ni lazima ichukue hatua sahihi.
- Murilo: Ana kasi, nguvu, na uwezo wa kupiga pasi — amekuwa nguzo muhimu Nottingham Forest.
- Marc Guehi: Aliwahi kuwa Chelsea, ana uzoefu wa EPL na ni kiongozi mzuri uwanjani.
- Jarrad Branthwaite: Mchezaji wa Everton mwenye urefu, uwezo wa kuzuia mipira ya juu, na utulivu mkubwa kwa umri wake.
Tath
Viwango vya wastani vya WhoScored kwa msimu wa 2024/25
View attachment 3436391
Kwa muda mchache aliocheza ni ngumu kumtathimini kiujumla lakini kwa jinsi nilivyomuangalia YouTube wakati tuna msajili niliyona ana uwezo wa kupiga pass vizuri na kuvunja pia line ya mpinzani, anakaba vizuri, ana IQ ya mpiraToa tathmini yake jana alicheza
View attachment 3436392
Upo sahihi mkuu, haya rudi kwenu.Timu bovu hili
Timu bovuUpo sahihi mkuu, haya rudi kwenu.
Nmesema, upo sahihi, au hujaelewa?Timu bovu
Mkuu wanasema samehe mara 7 mara 70. Potezea inapotokea mtu kukukwanza haya maneno si mazunri kwa watu wanaishi nyumba moja hata kama ni wa mpinzani.Unajua wewe mtoto ni maku sana,mkishawashwa miqundu mnatafuta wa kuwakuna,Kaangalie huko livescore utuscreen shotie then utiwekee hapa kama wameonyesha chochote.
Timu bovuNmesema, upo sahihi, au hujaelewa?
Bado wewe hujaelewa. Wamiliki wa Chelsea wanasajili kwa malengo mawili, ninyi mashabiki mnang'ang'ana na mchezaji anayeweza kucheza uwanjani tu ila kwenye market opportunity hamuangalii.Ndio ninaona hakuna umuhimu wowote wakumsajili Garnacho Kama tukimsajili Xavi Simons badala yake tuongeze beki mmoja ili tu balance vitabu vyetu vizuri
Korona imekuingia kichwani,Timu bovu hili
Timu bovuKorona imekuingia kichwani,