Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ni takataka.
Hiyo takataka ni nzuri kwa sababu inacheza vizuri kuliko hizo takataka zingine
Kama Fofana ni "takataka," basi hizo zingine ni vipande vya takataka iliyooza — maana angalau yeye anajua jinsi ya kuzuia, kujaribu mashambulizi kwa ukatili bila kujifunga mwenyewe.
Yaani, kwa soka, kuna takataka... na kuna takataka yenye potential! 😄

Wakati mwa nusu ya kwanza ya msimu alipokuwa anacheza Chelsea ilipanda hadi nafasi ya pili. Alipoumia tu, tukaporomoka pu hadfi nje ya top 6

Ni ww sasa umepata House girl mchapa kazi, umekaa nae mwaka mzima kila siku yeye nikuumwa, ukipiga hesabu siku alizifanya kazi ni kama mwezi mmoja miezi yote yupo kitandani, utaendelea kukaa nae? Kuumwa kupo ila kukizidi sana pia ni tatizo.
Tunazungumzia hawa wafanyakazi wa ndani ambao hata mkataba tu hawana?, unaenda kumchukua tu kwao kwa ruhusa ya wazazi na mda wowote ukijisikia unamrudisha?
 
🚨🔵 EXCL: Tyrique George anataka kuondoka Chelsea mwezi huu akiwa amepunguziwa muda wa kucheza… na vilabu vya Bundesliga vinatamani kumsajili.

Hoja ya kudumu pia inawezekana; Chelsea wanapendelea kumbakisha George lakini wanakubali hamu yake ya kucheza soka la kawaida.

RB Leipzig imewauliza Chelsea kuhusu Tyrique George wakati wa mazungumzo ya klabu na klabu kwa ajili ya Xavi Simons.

Mada tofauti na sio katika mpango mmoja lakini George amevutia Bundesliga na Leipzig wana hamu.

@FabrizioRomano

1754234988191.png
 
Wachezaji wengi wako wapi, au ninyi hamfuatilii Chelsea nini. Kocha atawachagua wachezaji wasiozidi 25-27 sasa wingi wa wachezajiw ako wapi hapo

Kikosi cha Chelsea 2025/26 hii hapa, wachezaji wanaokosekana aidha watauzwa au watatolewa mkopo
Ebu sema kikosi kikubwa kiko wapi hapa

Goalkeepers
  1. Robert Sánchez – Goalkeeper
  2. Filip Jørgensen – Goalkeeper
Defenders
  1. Malo Gusto – Right Back
  2. Reece James – Right Back / Defensive Midfielder
  3. Tosin Adarabioyo – Centre Back
  4. Trevoh Chalobah – Centre Back
  5. Wesley Fofana – Centre Back
  6. Benoît Badiashile – Centre Back
  7. Levi Colwill – Centre Back
  8. Marc Cucurella – Left Back
  9. Jorel Hato – Left Back
Midfielders
  1. Moisés Caicedo – Defensive Midfielder / Right Back
  2. Romeo Lavia – Defensive Midfielder
  3. Dário Essugo – Central Midfielder
  4. Andrey Santos – Central / Attacking Midfielder
  5. Enzo Fernández – Central Midfielder / CAM
  6. Kiernan Dewsbury-Hall – Central Midfielder
  7. Xavi Simons – Central Attacking Midfielder (CAM)
  8. Cole Palmer –Central Attacking Midfielder (CAM)/ Right Winger
Wingers / Playmakers
  1. Jamie Gittens – Left Winger
  2. Alejandro Garnacho – Left Winger
  3. Pedro Neto – Right / Left Winger
  4. Estevão Willian – Right Winger / No. 10
Strikers
  1. Liam Delap – Striker
  2. João Pedro – Striker / No. 10 / Left Winger
  3. Nicolas Jackson – Striker
Kama nilivyosema Christopher Nkunku hatakuwepo kesho kwenye mafunzo. Uongozi umesogeza mbele muda wake wa kurudi. Wanasema ni monor injury lakini hii ni excuse tu, Maresca hatataka wachezaji ambao hawatakuwepo kwenye kikosi chake cha msimu ujao waje kujaza nafasi tu. Hii ni dhahiri kabisa kuwa Xavi Simons atasajiliwa kuja kuziba nafasi yake.
1754238855391.png
 
Ndio mana wote ni wa kuuza hawana faida kwnye timu, wanajaza tu nafasi wanazuia wachezaji wenye uwezo kununuliwa.
Huyo Lavia ndio alifanya mpaka Kuna muda tuone team yetu inataka kuchukua ubingwa wa EPL ila baada ya kuumia ndio team ikaanza kupoteza direction. Kwa namna tulivyosajili Lavia anaumuhimu kwasababu nafasi yake Kuna watu watacheza na yeye atakuwa sehemu ya msaada kwahiyo hapaswi kuuzwa
 
Marc Cucurella kakaa muda mrefu bila kuwa na partner tangu Ben Chilwell apigwe ban na Renato Veiga azingue
1754241126581.png
 
Huyo Lavia ndio alifanya mpaka Kuna muda tuone team yetu inataka kuchukua ubingwa wa EPL ila baada ya kuumia ndio team ikaanza kupoteza direction. Kwa namna tulivyosajili Lavia anaumuhimu kwasababu nafasi yake Kuna watu watacheza na yeye atakuwa sehemu ya msaada kwahiyo hapaswi kuuzwa
Yeye na Fofana ila wanavyomponda utadhani ni Bakayoko
 
Usipochukua hatua ya kucheza vizuri unauzwa haraka sana
Hii sera ya usajili ya Chelsea ni katili sana na itatuletea timu bora itakayomiliki ligi kuu na ligi ya mabingwa wa ulaya kwa miaka mingi subirini muone tu.
1754241868885.png
 
Inashangaza kuwaacha kila mtu nchini Uholanzi, bila shaka, lakini kwangu ni safari mpya na watu wapya katika utamaduni mpya, timu mpya, mashindano mapya. Nadhani nitakuwa fiti kwa jinsi Chelsea wanavyocheza..."
1754242318480.png
 
Kama nilivyosema Christopher Nkunku hatakuwepo kesho kwenye mafunzo. Uongozi umesogeza mbele muda wake wa kurudi. Wanasema ni monor injury lakini hii ni excuse tu, Maresca hatataka wachezaji ambao hawatakuwepo kwenye kikosi chake cha msimu ujao waje kujaza nafasi tu. Hii ni dhahiri kabisa kuwa Xavi Simons atasajiliwa kuja kuziba nafasi yake.
View attachment 3429966
Nkunku nilikuwa namkubali Sana, cjui imekuwaje yn Dah
 
  • Thanks
Reactions: K11
Tunazungumzia hawa wafanyakazi wa ndani ambao hata mkataba tu hawana?, unaenda kumchukua tu kwao kwa ruhusa ya wazazi na mda wowote ukijisikia unamrudisha?
Nimekupa mfano mrahis tu, hata kama ni mfanyakaz ana contract hakuna ambae ataruhusu hayo mambo, ni either apunguze mshahara au asepe. Anawategea wenzake.

Hata kama ni ww una kampuni yako mfanyakaz hafanyi kazi muda wote yupo kitandani. utakaa nae tu unamlipa mshahara wa bure kisa ni mfanyakaz hodari.
 
Mwamba mbona una uchungu kwani mshahara unalipa wewe? Kama wamiliki wamerizika nae wewe ni Nani upinge
 
Nini maana ya injury isiyoisha? Miguu inakuwa na shida gani? Kwamba haponi vizuri anarudi uwanjani kujitonesha? Hiyo injury itaisha lini? Lipi solution ya kudumu? Asipocheza msimu mzima atapona kabisa?
Sasa hivi kutakuwa na rotation Hilo pia litamsaidia kuepuka kumtumia sana
 
Huyo Lavia ndio alifanya mpaka Kuna muda tuone team yetu inataka kuchukua ubingwa wa EPL ila baada ya kuumia ndio team ikaanza kupoteza direction. Kwa namna tulivyosajili Lavia anaumuhimu kwasababu nafasi yake Kuna watu watacheza na yeye atakuwa sehemu ya msaada kwahiyo hapaswi kuuzwa
Hapo hapo tulipopoteza direction ndio penye shida, akatuleta tena wakati tunataka kuchukua ubingwa wa Dunia akaumia tena, sasa mchezaji gani huyo mpuuzi tu. tunapotaka kufika kwnye mafanikio ndio anategea. Sasa si bora auzwe tupate pesa nzuri anunuliwe ambae hategi.
 
Nimekupa mfano mrahis tu, hata kama ni mfanyakaz ana contract hakuna ambae ataruhusu hayo mambo, ni either apunguze mshahara au asepe. Anawategea wenzake.

Hata kama ni ww una kampuni yako mfanyakaz hafanyi kazi muda wote yupo kitandani. utakaa nae tu unamlipa mshahara wa bure kisa ni mfanyakaz hodari.
Kumbe mtu kaajiliwa serikalini mfano afu ikatokea ameugua ndani kalala hata mwaka anafutwa kazi eeeeh au kupunguza mshahara si ndio!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom