Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo hapo tulipopoteza direction ndio penye shida, akatuleta tena wakati tunataka kuchukua ubingwa wa Dunia akaumia tena, sasa mchezaji gani huyo mpuuzi tu. tunapotaka kufika kwnye mafanikio ndio anategea. Sasa si bora auzwe tupate pesa nzuri anunuliwe ambae hategi.
Huyo ambaye unaona hategi ana uwezo wa kudeliver Kama anavyofanya Lavia au zaidi?
 
Kumbe mtu kaajiliwa serikalini mfano afu ikatokea ameugua ndani kalala hata mwaka anafutwa kazi eeeeh au kupunguza mshahara si ndio!!?

Hapo hapo tulipopoteza direction ndio penye shida, akatuleta tena wakati tunataka kuchukua ubingwa wa Dunia akaumia tena, sasa mchezaji gani huyo mpuuzi tu. tunapotaka kufika kwnye mafanikio ndio anategea. Sasa si bora auzwe tupate pesa nzuri anunuliwe ambae hategi.
Sasa kwanini huyo mbaye hana majeraha asizibe hilo pengo,sasa unaanza kurudi kule kule upande tunaoutaka na kaa ukijua majeraha huwa hayadumu milele mkuu
 
Mwamba mbona una uchungu kwani mshahara inalipa wewe? Kama wamiliki wamerizika nae wewe ni Nani upinge
Mimi siongelei kuhusu mshahara, mi naongelea kama mshabiki anatakiwa tumuone uwanjani sio kitandani.

Alokwambia wamiliki wameridhika ni nani? Kuna mtu anaridhika kukaa na mfanyakaz asiefanya kazi? Ni vile wameshapgwa za uso hamna namna.
 
Wamepigwa za uso wapi ndg?
  • Mbona Christopher Nkunku anauzwa?
  • Raheem Sterling na Ben Chilwell wamepigwa ban kushiriki mazoezi na timu ya kwanza. Maresca hafurahii kuwa na wachezaji wasiokuwa sehemu ya mpango wake.
Wachezaji kama Wesley Fofana na Romeo Lavia wanaaminika na kocha kiasi cha kupewa nafasi ya kusubiri hata wakiwa majeruhi—ndio maana hataki kuwaondoa.

Uelewa huu ni muhimu, ndugu:
🤔 Wanaouzwa ni wale ambao uongozi hauna tena mpango nao, si tu kwa sababu ya majeraha.
🔄 Wanaobaki ni wale ambao, hata majeruhi, bado wana thamani ya kiufundi na kimkakati.

Katika dirisha hili la usajili, kila kitu ni wazi Wesley Fofana na Rom,eo Lavia wako wazima, lakini kocha ana blueprint yake. Na blueprint Wesley Fofana naRomeo Lavia wako kwenye mpango wake wa kimkakati na kimbinu na kiufundi msimu ujao
 
Haya dili hilo, akicheza vizuri na akafit in atabaki
Akicheza vizuri na asipofit in tunauza kwa faida
Kelel za nini sasa
1754248737988.png
 
Kumbe mtu kaajiliwa serikalini mfano afu ikatokea ameugua ndani kalala hata mwaka anafutwa kazi eeeeh au kupunguza mshahara si ndio!!?
Umeshasema serikalini, ni tofauti na tasisi binafsi mkuu? Chelsea sio ya serikali, taasisi binafsi ni tofauti na serikali. Unaajiriwa waajiri wanataka result sio kutegea tegea.

Nina mfano halisi wa ishu kama hiyo, kuna mafanyakaz mwenzangu alikua anauguza mtoto, yule mtoto alimsumbua sana, mara india mara muhumbili, akawa anatumia likizo zote zikaisha, akanza likizo zisokua na malipo mwisho wa siku walimwambia tukutimue au aandike resignation, basi akaandika. Tulimuonea huruma coz alikua anampambania mwanae
 
  • Thanks
Reactions: K11
Noni Madueke alifanyia kazi kwa bidii beji ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, lakini akaikosa.
Wakati huo huo, Jorrel Hato, Jamie Gittens, na tunatumai Xavi Simons hawakuinua kidole kwa ajili yake, bado wataivaa kwa miaka minne ijayo kama hivyo.
Maisha ni ya kikatili wakati mwingine.

1754249398994.png
 
Umeshasema serikalini, ni tofauti na tasisi binafsi mkuu? Chelsea sio ya serikali, taasisi binafsi ni tofauti na serikali. Unaajiriwa waajiri wanataka result sio kutegea tegea.

Nina mfano halisi wa ishu kama hiyo, kuna mafanyakaz mwenzangu alikua anauguza mtoto, yule mtoto alimsumbua sana, mara india mara muhumbili, akawa anatumia likizo zote zikaisha, akanza likizo zisokua na malipo mwisho wa siku walimwambia tukutimue au aandike resignation, basi akaandika. Tulimuonea huruma coz alikua anampambania mwanae
Anzisha timu Yako upange masharti
 
Wamepigwa za uso wapi ndg?
  • Mbona Christopher Nkunku anauzwa?
  • Raheem Sterling na Ben Chilwell wamepigwa ban kushiriki mazoezi na timu ya kwanza. Maresca hafurahii kuwa na wachezaji wasiokuwa sehemu ya mpango wake.
Wachezaji kama Wesley Fofana na Romeo Lavia wanaaminika na kocha kiasi cha kupewa nafasi ya kusubiri hata wakiwa majeruhi—ndio maana hataki kuwaondoa.

Uelewa huu ni muhimu, ndugu:
🤔 Wanaouzwa ni wale ambao uongozi hauna tena mpango nao, si tu kwa sababu ya majeraha.
🔄 Wanaobaki ni wale ambao, hata majeruhi, bado wana thamani ya kiufundi na kimkakati.

Katika dirisha hili la usajili, kila kitu ni wazi Wesley Fofana na Rom,eo Lavia wako wazima, lakini kocha ana blueprint yake. Na blueprint Wesley Fofana naRomeo Lavia wako kwenye mpango wake wa kimkakati na kimbinu na kiufundi msimu ujao
Unafikiri hawataki kuwauza? Watamuuzia nani wachezaji wapo kitandani.

Tena bora hata Lavia kidogo, huyo Fofana ndio takataka kbs.
 
Nimekujibu hapa uliposema wamepigwa ya uso
"Alokwambia wamiliki wameridhika ni nani? Kuna mtu anaridhika kukaa na mfanyakaz asiefanya kazi? Ni vile wameshapgwa za uso hamna namna."

Mimi nikakujibu, wamiliki wameridhika, SD wameridhika, Benchi la ufundi wameridhika zaidi ya yote Kocha ameridhika kukaa na wagonjwa. Wakizinduka tu wanacheza vizuri na kumsaidia kocha na timu. Ni wewe tu ndie hujaridhika.
 
Nimekujibu hapa uliposema wamepigwa ya uso
"Alokwambia wamiliki wameridhika ni nani? Kuna mtu anaridhika kukaa na mfanyakaz asiefanya kazi? Ni vile wameshapgwa za uso hamna namna."

Mimi nikakujibu, wamiliki wameridhika, SD wameridhika, Benci la ufun di wameridhika zaidi ya yote Kocha ameridhika kukaa na wagonjwa. Wakizinduka tu wanacheza vizuri na kumsaidia kocha na timu. Ni wewe tu ndie hujaridhika.
Umemjibu vizuri sana huyo jamaa anishangaza sana yaani unamponda Lavia huyu haka akiwekwa sokoni Leo vilabu vingi vitakuja kupiga hodi
 
Wamiliki na kocha wasingeridhika nao huu muda wangewatoa kwa sababu wote wazima. Na uzuri mmoja hawa wamiliki ndio wanaongoza kwa kujua kuuza wachezaji. We angalia tu Joao Felix alivyouzwa. LAvia kumuuza ni very simple ila wanaoana kuna kitu kwao bado wadogo na wana mpango nadhani wa kuweza kuwaondoa kwenye majeruhi kama walivyofanya kwa Reece James
 
⚽💙 Kila siku, tunaendelea kupiga kelele hadi miaka minne iishe.
🔊 Acha Arsenal, Man United, Liverpool, PSG, Real Madrid, Bayern Munich, Barcelona FC, na DUNIA nzima🌍—wasikie kwa sauti kubwa hii:
Chelsea ni Mabingwa wa Dunia🏆
🔥 "The Blues motomoto mwaka huu hatuna huruma na mtu"
1754310224214.png
 
Japo Maresca anampenda kwa sababu halalamiki na hujitoa kikamilifu anapohitajika, hakuna jinsi—Everton wanamtaka.
"Kiernan Dewsbury-Hall to Everton is imminent."

1754310975926.png
 
Huyu naye kashanunuliwa na Burnley

Kiungo wa kati wa Chelsea Lesley Ugochukwu anasafiri kuelekea Burnley kukamilisha uchunguzi wa kimatibabu baada ya ada kuafikiwa.

Shughuli za mradi zinaendelea vizuri sana huko Stamford Bridge, haswa ukilinganisha na wapinzani wengine kama Arsenal na Manchester United msimu huu wa joto.

1754311825803.png
 
🚨|Enzo Maresca ahead of the new season:

🎙️“Last year, I played the ‘we’re not in a title race’ card. I thought it would ease pressure.

I won’t make that mistake again. This time, we go for everything.”

(@ChelseaTV)
 
Attachments

  • 20250804_161333.jpg
    20250804_161333.jpg
    142.6 KB · Views: 14
🚨|Enzo Maresca ahead of the new season:

🎙️“Last year, I played the ‘we’re not in a title race’ card. I thought it would ease pressure.

I won’t make that mistake again. This time, we go for everything.”

(@ChelseaTV)
Ameongea kiume sana ni kweli msimu uliopita alizingua kwa ile kauli aliyotoa kiasi fulani ilishusha molali kwa team this time ameonja Raha ya kubeba makombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom