lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Super squad player ameuzwa
Fursa imejitokeza hakuwekwa kwenye mpango wa kuuzwa kwa lazima kama akina Sterling, Nkunku na coJapo Maresca anampenda kwa sababu halalamiki na hujitoa kikamilifu anapohitajika, hakuna jinsi—Everton wanamtaka.
"Kiernan Dewsbury-Hall to Everton is imminent."
View attachment 3431036