Jarrel Hato kwa ajili ya kusaidiana na CucurellaHuyu beki tunataka kumsajili kutoka Ajax ni takataka tu hamna mchezaji mule.
Jarrel Hato kwa ajili ya kusaidiana na CucurellaHuyu beki tunataka kumsajili kutoka Ajax ni takataka tu hamna mchezaji mule.
Alivyosema Enzo Fernandez ni takataka ikabidi nisiendelee na mjadala naeHuyu jamaa enu kila mtu Chelsea kwake ni takataka,,,, kazi ipo !
Tumuulize swali ! First eleven ile iliyochukua CWC ni mchezaji gani anaona anaifaa the blues ?
Kocha gani anaona amrithi maresca ?
Timu inapanda kigraph au inadidimia ?
Baada ya kina Boel kuinunua timu yapi manufaa? Ama kila kitu takataka?
Cucurella mwenyewe jamaa anamuhita ni takatakaJarrel Hato kwa ajili ya kusaidiana na Cucurella
Kedry Paez anatolewa kwa mkopoHawa wamiliki wako serious sana, inabidi wale wote waliowakajeli huko nyuma watubu dhambi zao
Na bado tunao
- Estevao Willian
- Jamie Gittens
- Liam Delap
- John Pedro
- Xavi Simons
- Jorrel Hato
- Dario Essugo
- Kendry Paez
- Andrey Santos
- Enzo Fernandez
- Moises Caisedo
- Romeo Lavia
- Pedro Neto
View attachment 3416410
Hawa wamiliki wako serious sana, inabidi wale wote waliowakajeli huko nyuma watubu dhambi zao
Na bado tunao
- Estevao Willian
- Jamie Gittens
- Liam Delap
- John Pedro
- Xavi Simons
- Jorrel Hato
- Dario Essugo
- Kendry Paez
- Andrey Santos
- Enzo Fernandez
- Moises Caisedo
- Romeo Lavia
- Pedro Neto
View attachment 3416410
Alivyosema Enzo Fernandez ni takataka ikabidi nisiendelee na mjadala nae
Kabla ujaongea hivyo itathimini team kwa ujamla na jiulize Nini sababu ilitufanya tu struggle hapa katikati, ukishafanya hiyo tathimini ndio itakupa picha halisi ya mwelekeo wa team ngoja Sasa nikupe majibu. Moja Kati ya changamoto kubwa team ilikuwa nayo ni kuwa tunaruhusu magoal lakini pia mbele tupo butu, alivyokuja Maresca hapa mwanzoni na katikati bado tulikuwa tunashida za kuruhusu magoal ingawa tulikuwa tunacheza vizuri but karibia na hizi mechi za mwisho za epl tukaimarika kwenye defense sana na tulikuwa tunafunga lakini sio sana kwasababu tunapoteza chance nyingi za kufunga mbele.
Nakukumbusha katika mechi 15 za mwisho tumeshinda mechi 14 na katika hizi mechi za mwishoni mwa ligi tumeruhusu magoal machache sana hiyo ndio namna unaona improvement ya team, kushinda kwa hili kombe imetengeneza positive mentality na spirit ya wachezaji na hii imeanzia baada ya kushinda conference cup wachezaji watakuwa na high demand ya kudai mafanikio.Nini Chelsea wamekifanya baada ya kumaliza ligi?
Jibu ni kwamba tumeanda sokoni kuimarisha mbele tumemsajili Joao Pedro na umeshaona deliver yake, tumemsajili pia Delap ambao ni mastrikers wazuri maana kwenye mechi tulizokuwa tunapoteza sio kwasababu tulikuwa tunazidiwa na wapinzani la hasha! Tunacheza vizuri ila the end tunapoteza game na ukiangalia hiyo game tumetengeneza nafasi nyingi kuliko mpinzani.Kingine tulichofanya ni kuimarisha depth ya kikosi sasa hivi tunaweza kumkosa Caicedo nafasi yake ikachezwa na Essugo na Usione gape kubwa maana Essugo ni kiungo mzuri na hivyo hivyo tumefanya kwa maeneo mengine na bado tunaendelea na usajili kwa namna hii unawezaje kusema hatuwezi ku wachallenge Liverpool na Man city???
Papaa Gx
Na nimewasahauKedry Paez anatolewa kwa mkopo
Hao wangekuja Chelsea ungewaita takataka tu😀Mkuu tatizo letu sisi tunasajili matakataka, sajili anazo fanya Liverpool huwezi linganisha ata kidogo na Chelsea alafu mwisho wa siku useme uko tayari kum challenge.
Florian Wirtz na Hugo Ekitike huwezi walinganisha na usajili tulio fanya wa Joao Pedro na Liam Delap. Kama tunahitaji kufika huko hatuna budi kuachana na sajili za hovyo hovyo, bora kusajili wachezaji wachache wenye uwezo.
Hii sajili ya hawa matajiri ni ya hovyo na ndio, wanajaza matakataka kibao wasio kuwa na maana yoyote kwenye timu. Wao wanawaza biashara tu, ipo siku mtanielewa tu.
Matakataka wamekuwa wengi mno kwenye timu yetu, huwezi m challenge Liverpool ama City ukiwa na lundo la matakataka.
WEWE NI WA KUPUUUZWAMkuu tatizo letu sisi tunasajili matakataka, sajili anazo fanya Liverpool huwezi linganisha ata kidogo na Chelsea alafu mwisho wa siku useme uko tayari kum challenge.
Florian Wirtz na Hugo Ekitike huwezi walinganisha na usajili tulio fanya wa Joao Pedro na Liam Delap. Kama tunahitaji kufika huko hatuna budi kuachana na sajili za hovyo hovyo, bora kusajili wachezaji wachache wenye uwezo.
Hii sajili ya hawa matajiri ni ya hovyo na ndio, wanajaza matakataka kibao wasio kuwa na maana yoyote kwenye timu. Wao wanawaza biashara tu, ipo siku mtanielewa tu.
Matakataka wamekuwa wengi mno kwenye timu yetu, huwezi m challenge Liverpool ama City ukiwa na lundo la matakataka.
JP ni mchezaji wa maana kushinda ata hao uliowataja usiangalie timu aliyotokea ukamhukumu subiria msimu uanze alafu uje umlinganishe na hayo matakataka ya Liverpool uliyoyataja kama yatamfikia endapo asipopata majerahaMkuu tatizo letu sisi tunasajili matakataka, sajili anazo fanya Liverpool huwezi linganisha ata kidogo na Chelsea alafu mwisho wa siku useme uko tayari kum challenge.
Florian Wirtz na Hugo Ekitike huwezi walinganisha na usajili tulio fanya wa Joao Pedro na Liam Delap. Kama tunahitaji kufika huko hatuna budi kuachana na sajili za hovyo hovyo, bora kusajili wachezaji wachache wenye uwezo.
Hii sajili ya hawa matajiri ni ya hovyo na ndio, wanajaza matakataka kibao wasio kuwa na maana yoyote kwenye timu. Wao wanawaza biashara tu, ipo siku mtanielewa tu.
Matakataka wamekuwa wengi mno kwenye timu yetu, huwezi m challenge Liverpool ama City ukiwa na lundo la matakataka.
Hapo inabidi ukatafute wachezaji kutoka sayari nyingi sasaMkuu tatizo letu sisi tunasajili matakataka, sajili anazo fanya Liverpool huwezi linganisha ata kidogo na Chelsea alafu mwisho wa siku useme uko tayari kum challenge.
Florian Wirtz na Hugo Ekitike huwezi walinganisha na usajili tulio fanya wa Joao Pedro na Liam Delap. Kama tunahitaji kufika huko hatuna budi kuachana na sajili za hovyo hovyo, bora kusajili wachezaji wachache wenye uwezo.
Hii sajili ya hawa matajiri ni ya hovyo na ndio, wanajaza matakataka kibao wasio kuwa na maana yoyote kwenye timu. Wao wanawaza biashara tu, ipo siku mtanielewa tu.
Matakataka wamekuwa wengi mno kwenye timu yetu, huwezi m challenge Liverpool ama City ukiwa na lundo la matakataka.
KWANI SI TUNA YULE DOGO TOKA ARGENTINA ? ,anaitwa Aaron AnselminoJarrel Hato kwa ajili ya kusaidiana na Cucurella
Anaenda Strasbourg kwa mkopoNa vipi kuhusu dogo kendry paez ? maana tuliambiwa huyu dogo anakuja mwaka huu .Vipi ? .Kama akija huyu dogo , jackson na nkunku wauzwe . sioni feasibility ya kuwaweka maforward wote hao , italeta discontent ,maana jackson na nkunku wana ka ego flani ,wanaweza chafua hali ya hewa dressing room na tukarudi tulipotoka
Xavi Simon huyu vipi ni takataka?Ipo siku utaelewa tu
Wewe unaangalia bei ya mchezaji badala ya quality yake unakumbuka bei aliyosajiliwa Darwin Nunez alafu angalia alichoenda kudeliver hata huyu striker walimsajili ni wa kawaida ni Bora wangemsajili isak huyu ndio striker sasaMkuu tatizo letu sisi tunasajili matakataka, sajili anazo fanya Liverpool huwezi linganisha ata kidogo na Chelsea alafu mwisho wa siku useme uko tayari kum challenge.
Florian Wirtz na Hugo Ekitike huwezi walinganisha na usajili tulio fanya wa Joao Pedro na Liam Delap. Kama tunahitaji kufika huko hatuna budi kuachana na sajili za hovyo hovyo, bora kusajili wachezaji wachache wenye uwezo.
Hii sajili ya hawa matajiri ni ya hovyo na ndio, wanajaza matakataka kibao wasio kuwa na maana yoyote kwenye timu. Wao wanawaza biashara tu, ipo siku mtanielewa tu.
Matakataka wamekuwa wengi mno kwenye timu yetu, huwezi m challenge Liverpool ama City ukiwa na lundo la matakataka.
Xavi Simon huyu vipi ni takataka?
Wewe unaangalia bei ya mchezaji badala ya quality yake unakumbuka bei aliyosajiliwa Darwin Nunez alafu angalia alichoenda kudeliver hata huyu striker walimsajili ni wa kawaida ni Bora wangemsajili isak huyu ndio striker sasa