lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Kwa uchezaji wake hachezi direct CM lakini ni NO. 10 au CAM. Hii ya central attacking midfiler au advanced no. 8 ndio has natural position yake, Thomas Tuchel anaita Half-winger-Half- 10 ambayo humpa uhuru wa kufanya ubunifu wakeMkuu natural position ya Xavi ni AM, CM na RW, Hizo nyingine zinabaki kuwa zile kwakua ni mchezaji akipangwa position yoyote anaweza toboa lakini sio perfect fit kwake kama hizo nilizotaja
Sawa hii position ndio hasa Enzo Fernandez au Cole Palmer wanacheza kwa staili ile ile ya kuroam freely kule mbele ili kushambulia nafasi zinazoachwa wazi na kusababisha maafa kwa wapinzani
-----------------------------------------X----------------------------------------
Xavi Simons’ natural position is as an attacking midfielder, often referred to as a No.10. That’s where his creativity, close control, and vision shine brightest—threading passes, drifting between lines, and popping up in dangerous pockets.
But here’s the twist: he’s a tactical chameleon. Simons has also played:
- Left winger – his most frequent role, where he drifts inside to combine or shoot
- Right winger – offering balance and cutting in on his stronger right foot
- Central midfielder – deeper playmaking when needed
- Second striker – occasionally, to exploit space behind a main forward