lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Maresca kafanya mabadiliko mengi ikmiwa mojawapo kuwapa uhuru wachezaji kucheza kwa style yao.Niliwahi kusema hiki kitu Chelsea ina defenders wazuri ila kwanini tulikuwa tunaruhusu magoal kirahisi ni kwasababu ya muundo wa kocha wa uchezaji ilikuwa mpinzani akipata tu mpira ni rahisi kufika golini kwetu tunakuwa wazi sana kiasi ambacho madefenders wetu wanakuwa exposed. Kwa mifumo ambayo amekuja nayo Enzo Maresca hasa kwenye hizi mechi za karibia na mwishoni umeona rulivyo kuwa solid, Chelsea haitaji sana uwalazima wa kuwa na center backs Fofana, Tosin, chalobah na Colwil wanatosha kabisa muhimu kocha stick kwenye hii mifumo inayofanya tuwe solid
Mfano alikataza transition sasa hivi anaruhusu
Alikataza longballs sasa hivi anaruhusu. Kuna tatcical changes nyingi zimefanywa hapo katikati ya March na sasa ndio maana timu imebadilika sana. Mimi naamini timu hii inatosha kabisa kufight for EPL na UCL