Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Takataka hii, madueke mweupe.
Mazungumzo yameanza rasmi kati ya Chelsea na RB Leipzig ya kumsajili Xavi Simons kwa dau la pauni milioni 60.
1753119698832.png
 
Chelsea wanamthaminisha Nicolas Jackson kati ya £80M na £100M. Iwapo ataondoka, Liverpool iliwagharimu pauni milioni 79 kumnunua Hugo Ekitike. Dhamani ya Hugo Ekitike itatumika kama kigezo cha makubaliano yoyote ya Nicolas Jackson.

[kupitia @SkyKaveh]
1753120918317.png
 
Mazungumzo yameanza rasmi kati ya Chelsea na RB Leipzig ya kumsajili Xavi Simons kwa dau la pauni milioni 60.
View attachment 3413409
Bei yake sio mbaya tofauti na ya Morgan huyu ni mtu kwa kweli, hii ndio sababu inayofanya niipende hii team ni suala la kuwa na ambitious ya kuwin makombe. Huyu atatusaidia sometime Palmer asirelax na kwenye rotation pamoja na upande wa winger wa kushoto kulingana na mechi husika kweli Tajiri Hana masihala
 
Palmer mchumba wake alimzingua sana na kwa vile Palmer kachukua maamuzi magumu ya kumkataa anaweza kurudisha form yake ya kwanza. Pili wachezaji wengi na kocha sasa wanaelewana. Kwa taarifa yako Palmer pale alipo ni untouchable labda augue au apumzishwe mechi ndogo ndogo
 
Sasa dogo Xavi Simon atafit wapi kwenye Maresca system?
 
Xavi Simons akisajiliwa atakayeadhirika na dakika ni Jamie Gittens na Liam Delap kwa sababu Xavi Simons anaweza kucheza namba zote za mbele
  1. Natural No. 9
  2. False No. 9
  3. LW
  4. RW
  5. CAM/No. 10
  6. Advanced no. 8
Na Maresca anapenda sana wachezaji kama hawa kwa sababu ya flexibility pale anapopanga timu, anapoweka gameplan na inapotokea majeruhi au mchezaji fulani hayupo ghafla kwa sababu hii na ile
 
Sasa dogo Xavi Simon atafit wapi kwenye Maresca system?
Nimeweka hapa
Xavi Simons akisajiliwa atakayeadhirika na dakika ni Jamie Gittens na Liam Delap kwa sababu Xavi Simons anaweza kucheza namba zote za mbele
  1. Natural No. 9
  2. False No. 9
  3. LW
  4. RW
  5. CAM/No. 10
  6. Advanced no. 8
Na Maresca anapenda sana wachezaji kama hawa kwa sababu ya flexibility pale anapopanga timu, anapoweka gameplan na inapotokea majeruhi au mchezaji fulani hayupo ghafla kwa sababu hii na ile
 
Chelsea wanenda mbali zaidi sasa kwenye usajili wa Xavi Simons

BREAKING: Chelsea wamemleta wakala mshauri Ali Barat kusaidia timu yao kusajili katika dili la Xavi Simons! Amesaidia kwa mikataba mingi huko Chelsea kwa wamiliki. Wanataka hili lifanyike!

Fahamu Xavi aliyezaliwa 2003 anapendelea kuhamia Ligi Kuu ya Uingereza, kukubaliana hakutakuwa suala!

Mazungumzo yataanza kati ya Chelsea na RB Leipzig ili kukubaliana juu ya ada na nyongeza zinazowezekana
Inaaminika kuwa ada inaweza kuwa chini ya Euro elfu sabini kwa sababu Xavi Simons amebakiza miaka miwili tu kwenye mkataba wake na tayari ameshaiambia klabu yake ya RB Leipzig kwamba yeye anataka kuaham.
@FabrizioRomano
 
Niliwahi kusema hiki kitu Chelsea ina defenders wazuri ila kwanini tulikuwa tunaruhusu magoal kirahisi ni kwasababu ya muundo wa kocha wa uchezaji ilikuwa mpinzani akipata tu mpira ni rahisi kufika golini kwetu tunakuwa wazi sana kiasi ambacho madefenders wetu wanakuwa exposed. Kwa mifumo ambayo amekuja nayo Enzo Maresca hasa kwenye hizi mechi za karibia na mwishoni umeona rulivyo kuwa solid, Chelsea haitaji sana uwalazima wa kuwa na center backs Fofana, Tosin, chalobah na Colwil wanatosha kabisa muhimu kocha stick kwenye hii mifumo inayofanya tuwe solid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom