Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Shusheni ivyo vyma msimu ujao hatutaki kusikia kujitetea. Naona kuna mwenzenu kule kapost picha ya Gyokeres halafu kaorodhesha top six akimaanisha anakusanya point 6 kwa kila top sixHabari zenu aisee. Hongereni kwa kuchukua CWC.
Pia msione kama ni lazima sana kuja kupost post kombe kule kwetu mkifikiri hatujasikia.
Ni kwamba tu tuko bize tunashusha vyuma.
Ndugu sisi wengine tupo hili jukwaa hata hatujui tulianza lini kuchangia mada. Kitambo kidogoKumbe unaongelea wapinzani wetu
Sasa hapo Trump baada ya kukabidhi kombe angetakiwa ashuke.
makocha wa Spain wakikutana na wa Italy huwa wanakalishwaMaresca kwenye mbinu wa mchezo:
"PSG ina viungo watatu na wawili kati yao walikuwa wakiwasimamia Reece na Moi. Vitinha alikuwa akisimamia Enzo. Tuliona ni nafasi nzuri ya kutumia nafasi na Cole na Malo. Ilikuwa ni mpango wa mchezo (Game plan).
View attachment 3405280
πππππMadueke akicheza huwa anapambana na vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida
Miujiza mwisho ilikuwa janaNyinyi mtaishia kusajili ila makombe yatakuwa yanaenda Chelsea
π€£π€£π€£Wale wote wanaosema Maresca hana mbinu waje tubishane hapa
πππππNywele hizi za Cucurella zina faida kwa Chelsea, Zikivutwa kidogo tu ni red card
View attachment 3405185
Yale ni maneno ya Mkosuaji. Sasa hawana hamu. Wasoma koments kimya kimya na kutukana kimya kimyaaaπ€£π€£π€£Haya sasa wako wapi wale waliokuwa wanasema tumepita njia nyepesi mara tumecheza na timu dhaifu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mwambie awe anajitambulisha kwa kiongozi wa kitongoji kwanza. Yeye kaja tu akajitafutia makazi kimya kimya bil;a kutambulishwa kwa wazee wa mjiNdugu sisi wengine tupo hili jukwaa hata hatujui tulianza lini kuchangia mada. Kitambo kidogo
Alinoghewa, hata wewe ungekuwa pale usingependa kuacha huo utukufu wa Ubingwa wa DuniaSasa hapo Trump baada ya kukabidhi kombe angetakiwa ashuke.
Hapa mtaani kwangu wamepotea, hasa Arsenal na Liverpool, aibu yao hawaonekani mtaani asubuhi ya kuamkia jana. Na naamini leo wakionekana watajifanya hakuna kilichotokea duniani kwa upande wa Chelsea.Haya sasa wako wapi wale waliokuwa wanasema tumepita njia nyepesi mara tumecheza na timu dhaifu
Mashindano haya yametuingizia Β£88M. Waache hao wanafiq waendelee kuchonga midomo huku sisi tukiendelea kuvuna mapesa kama kawaida.Hapa mtaani kwangu wamepotea, hasa Arsenal na Liverpool, aibu yao hawaonekani mtaani asubuhi ya kuamkia jana. Na naamini leo wakionekana watajifanya hakuna kilichotokea duniani kwa upande wa Chelsea.
Wao Arsenal walikuwa mstari wa mbele kuishambulia Chelsea na kuyaita mashindano ni pre-seaosn yenye kombe.
Liverpool wao walikuwa mstari wa mbele kuyashambulia haya mashindano wakidai ni mashindano ya hovyo kuwahi kutokea. Ila utashangaa mashindano ya 2029 watapambana kufa na kupona wawepo na kuzima data kana kwamba hawajawahi kuyadharau
Wakurya wa Kitunda Dar tupewe nini tena hadi Walibwende wa kibantu kama huyu na Carleen wanashabikia Chelsea FC?π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
The Blues ππππππππ