Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,147
- 4,296
Hii mechi chelsea tusipopewa red card sijui naona kabisa caisedo na neto hawamalizi mechi wote au mmoja kwa ujinga wao chelsea inatumia nguvu nyingi kukaba na kujisahau kufanya makosa
Bro amechagua kilicho chema 💙Shem mimi ni The Blues miaka mingi sana. Sema tu niliacha kuingia huu uzi miaka hii. Ila mimi na Chelsea ni pete na kidole.
Hakuna Dembele wala nani leo Chelsea Tunabeba ubingwaNgoja DEMBELE AINGIE
FT
CHELSEA 2 PSG 3
Ule ugomvi wa jana kumbe ni kweliBREAKING: Mazoezi ya Chelsea yalikatishwa jana kwa muda baada ya mabishano makali kati ya Cole Palmer na Joao Pedro kuhusu nani afunge bao la 7 dhidi ya PSG Jumapili.
Mimi ninawasikitia tu waliobeti tena pesa nyingiWachambuzi wa mpira wamewadanganya sana watu kuwa Chelsea tutafungwa vibaya sana 😂