Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna uwezekano Chelsea na Nicolas Jackson wakaachana msimu huu wa kiangazi
Jackson hayuko tayari kuwa striker wa pili sembuse wa tatu juu yake wakiwemo Joao Pedro na Liam Delap
AC Milan wako mstari wa mbele kutaka saini ya striker huyo huku baadhi ya timu kutoka ligi ya Uingereza nao wanmtaka mchezaji huyo wa Chelsea aliyekosa mvuto kwa kocha baada ya ujio wa Pedro na Delap. Kikwazo kikubwa kitakuwa ada yake ambayo iko juu kwa sasa
Jackson anajiamini juu ya uwezo wake kwamba hawezi kuwa striker wapili. Sasa kwa nini asiuoneshe huo uwezo wake kwa muda anaopewa. Italy kunaweza mfaa ila bado anahitaji kuweka sawa mentality yake anaweza akahisi akienda huko atapata ahueni ila ndio akaishia kupotea kabisa.
 
Walete hela turekebishe vitabu mambo yaendelee.
 
Attachments

  • Screenshot_20250711_103409_Instagram.jpg
    Screenshot_20250711_103409_Instagram.jpg
    531.7 KB · Views: 10
Mike Penders anakwenda mkopo Strasbourg hii inamaanisha Chelsea wataingia sokoni kusajili golkipa, je wanaweza kurudi kwa Mike Maignan au watameza matapishi na kukataa mauzo ya Djordje Petrovic?
Tukumbuke pia Diogo Costa yukop sokoni anauzwa ila sio chini ya milioni 60
Sasa hivi Chelsea imefocus nakuuza wachezaji Kwanza
 
Model nzuri yaani full recycling system , talent inakuwa scouted ,recruited na kukuzwa kupitia Brighton , then inapelekwa Straousburg kwa mkopo kukua zaidi then inaingia Chelsea kutumika then ikizeeeka au ikiwa useless takataka tuna offload kwa Arsenyetoz ikajifie huko ,bonge la idea aisee .Aliyewaza hivi ni genius .
Ila we jamaa umenichekesha sana
 
Kweli nimeamini wamerekani wanafanya biashara.
At least biashara zao za akili madueke nadhani alinunuliwa Toka psv kwa pauni chini ya 30mil ila sahv anauzwa arsenal kwa pauni mil 50 na nyongezašŸ˜‚.....hata huyu Jackson km akiuzwa basi kwa gharama juu ya bei aliyonunuliwa....sio unatoa mamilioni ya pesa mingi afu mtu anashindwa kudeliver mnaishia kumuuza kwa hasara
 
Hakuna wadhamini pale Chelsea FC tujiandae tu kisaikolojia kwa msoto wa mbele kwa mbele kwa ubahili ndicho wanachopitiq Liverkuku, Aser8 na Mwantesa Utd.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ila mwamba umezidisha kulalamika aisee hivi uoni hata utofauti kuanzia kipindi team ipo chini ya Lampard, Graham Potter na pochentino na kipindi hichi ipo chini ya Enzo Maresca au umesahau msoto tulikuwa tunapitia ilikuwa hatuingii big 4, team ilikuwa haieleweki inavyocheza.Huyo kocha wetu wa Sasa huu ni msimu wake wa Kwanza team imeingia big 4, tumechukua conference cup na now tumeingia fainal wewe uoni ni kwamba tumepiga hatua kubwa?
 
Hajaona hata Man City chini ya Pep imeangukia pua kwa hiyo Pep nae ni kocha mchanga na hajui kwa tafsiri yake
 
Msamiati wa leo
Cheltako
-Jina lilotokana na wachezaji kuwa na big tako, i.e Hazard, kuna vamovich sijui etc
 
Hakuna wadhamini pale Chelsea FC tujiandae tu kisaikolojia kwa msoto wa mbele kwa mbele kwa ubahili ndicho wanachopitiq Liverkuku, Aser8 na Mwantesa Utd.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sijui unawza kutumia nini unadhani timu kama chelsea ni sawa za bongo wadhamini wapo kibao sio lazima huyo mkuu maboss wameweka pesa na timu inasonga au unaona hiyo ni mtibwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom