Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Attachments

  • FB_IMG_1752119262068.jpg
    FB_IMG_1752119262068.jpg
    25.4 KB · Views: 9
Hapa final ni kushindana kutumia nafasi weka nikuweke...


Hapa ni kutumia kila nafasi ikipatikana.

Hawa PSG ukisema unajilinda ni kujidanganya...

Na bado kwenye speed ya mashambulizi ya ghafla wako vizuri.
 
Chelsea haijawahi kuogop timu zikiwa kwenye ubora wao
Barcelona kwenyr ubora wake kafungwa
Bayern kwenye ubora wake kafungwa
Man city kwenye ubora wake kafungwa
Chakujiuliza :kwanin watabiri wameipa chelsea asilimia kubwa kuchukua kombe?
Jpili sio mbali
Wameipa Chelsea FC asimilia kubwa kushinda Jpili ili ndezi wengi wambetie Chelsea FC na kuchana mikeka ya wahuni vs PSG.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mechi ya Jumapili hakuna haja ya kuichambua na kuielezea ila nachojua THE BLUES itakuwa mwendo wa ngiri mkia juu.
Aisee sipendi hii mentality yako ndg. itakayotuangusha ni game plan tu. Kama Maresca akiweka game plan ya kuwabana wale wasicheze kutoka nyuma tutawalamba vyuma. Chelsea ina wachezaji bora kuliko wao. Hata benchi letu tu inaweza kuwapelekesha nginja nginja
 
Mkuu hujaelewa comment yangu. Mwendo wa Ngiri mkia juu yaani tucheze kwa kasi kubwa, kujituma kwa nguvu zote na bila kuwogopa PSG.
Uzuri attackers wetu wanajua kumpress
João, Neto, Delap
Real Madrid waliwafanya PSG wakaonekana supa wakati wal;ikuwa hawapress. Mbape akinyanganywa mpira anweka mikono kamali, Vini naye hivyo wakati PSG winga zao zinapress na kutyract ile mbaya.
Hii mechi tunashinda bila hata matuta. Tutauonyesha ulimwengu utupu na udanganyifu PSG wamefanya kwa Intermilan, Bayern Munich na Real Madrid
Maresca tu aambiwe jumapili hatuhitaji kutest vitu vipya
 
U
Chelsea dhidi ya PSG

-----------Delap------------

Pedro --- Palmer ---Neto

-- Enzo --------Caicedo/Santos-

Cucurella -- Colwill ---Tosin----James

------------- Sanchez-----------------

Tumuombee Maresca aone safu hii
Ombea pia Sanchez aamke katika hali nzuri siku ya Jumapili
Unapanga kikosi kwa mahaba
 
Mda wote anafikiria namna ya kuiponda tu timu yake, Mimi naamini hata ikitokea tumefungwa hiyo j pili, timu kiujumla wamejitahidi sana mpaka kufika hapo
Hata tukifungwa 10 bila bado timu iko vizuri sana. Nimefuatilia maboresho tangu March 25 Kocha kwanza amebadilika, ile ya kwamba hatuwezi kuhisndana kwenyye ligi nne
Hatuwezi kushika top 4 mara bila striker wa uhakika Chelsea haiwezi shinda mechi hana. Sasa ni positive positive kwenda mbele na wachezaji nao wameambukizwa wanawaza na kufikiria hivyo hivyo
Marecsa kafanikiwa kumuweka James mzima hadi sasa bado Lavia naye anaonyesha dalili za kucheza mechi nyingi bila majeruhi. . Game plan na approach ya game ikiwa nzuri na sahihi tutashinda ahat kwa mikwaju ya penalti.

Kiwango cha Chelsea tangu Mapumziko ya Kimataifa mwezi Machi 2025

Mechi: 20
Shinda: 15
Droo 2
Fungwa: 3

Magoli ya kufunga: 38
Magoli ya kufungwa: 13
Tofauti ya magoli GD: +25

Cleansheet: 10

Wafungaji wa magoli: ⚽️
Fernandez, 4
Jackson, 4
Neto, 4
George, 3
Madueke, 3
Sancho, 3
Cucurella, 2
Dewsbury-Hall, 2
Palmer, 2
Pedro, 2
Caicedo, 1
Colwill, 1
Delap, 1
James, 1
Nkunku, 1
Tosin, 1
Magoli ya kujifunga, 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom