Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1752150456371.png
 
Mike Penders anakwenda mkopo Strasbourg hii inamaanisha Chelsea wataingia sokoni kusajili golkipa, je wanaweza kurudi kwa Mike Maignan au watameza matapishi na kukataa mauzo ya Djordje Petrovic?
Tukumbuke pia Diogo Costa yukop sokoni anauzwa ila sio chini ya milioni 60
 
Sikuona mchezo wowote mzuri wa PSG jana, wanaonekana wazuri kwa sababu wale wapuuzi wa Real Madrid hawakucheza kama vile walikuwa kwenye mgomo.

Nilitazama hadi dakika ya 70 nikaenda kulala, kwani mchezo ulikuwa wa kuchosha kutokana na Real Madrid kutokuwa na ari ya kushindana.

PSG walitumia vyema mapengo, mapenyo na makosa ya Real Madrid,
Walicheza mpira na mabeki, wakivunja safu za ulinzi, na kufunga mabao rahisi.

Ilikuwa kama marudio ya kichapo cha kihistoria cha Ujerumani dhidi ya Brazil kwenye Kombe la Dunia mwaka 2014.

Kama Liam Delap, Joao Pedro na Pedro Neto wakicheza kule mbele wakawapress hao mabeki wa PSG ili wasipasiane wenyewe kwa wenmyewe tita wa botafogo nakuambia

Tusubiri jumapili tuone na tumuombee Maresca aone kama nilivyoona mimi na kuiandaa timu kwa kuwapress hao mabeki
Naona Pale pia hao jamaa viungo wao ukiwazuia ili kina Dembele wasipate mpira
 
Good news: Moises Caicedo yuko kwenye mazoezi na wenzake
Bad news: Hakuna hata dalili ya Romeo Lavia kufanya mazoezi na wenzake
 
Good news: Moises Caicedo yuko kwenye mazoezi na wenzake
Bad news: Hakuna hata dalili ya Romeo Lavia kufanya mazoezi na wenzake
Lavia sijawahi kumuelewa, huwa namuona ana uzito flani hivi.

Bado mabeki wetu ni wasamaria sana, sijui kwanini zama hizi mabeki kama Canavaro, John Terry, Ivanovich na Ashley Cole wamekuwa ni wa kutafutwa kwa tochi kama natural strikers no 9?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kenge kabisa, final mnapigwa kama mwizi
Sisi ndio wababe wa kubeba vikombe the blueeeeesssssssssssss,sisi si arsenyani na hatuna historia ya kukosa kombe kizembe zembe fainali hata tuwe wabovu kiasi gani , huyu PSG tunamtia vidole asubuhi na mapema ,
 
Model nzuri yaani full recycling system , talent inakuwa scouted ,recruited na kukuzwa kupitia Brighton , then inapelekwa Straousburg kwa mkopo kukua zaidi then inaingia Chelsea kutumika then ikizeeeka au ikiwa useless takataka tuna offload kwa Arsenyetoz ikajifie huko ,bonge la idea aisee .Aliyewaza hivi ni genius .
 
Kuna uwezekano Chelsea na Nicolas Jackson wakaachana msimu huu wa kiangazi
Jackson hayuko tayari kuwa striker wa pili sembuse wa tatu juu yake wakiwemo Joao Pedro na Liam Delap
AC Milan wako mstari wa mbele kutaka saini ya striker huyo huku baadhi ya timu kutoka ligi ya Uingereza nao wanmtaka mchezaji huyo wa Chelsea aliyekosa mvuto kwa kocha baada ya ujio wa Pedro na Delap. Kikwazo kikubwa kitakuwa ada yake ambayo iko juu kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom