Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani ambao hamuangalii hii game ya PSG mnakosa kujifunza kitu muhimu sana. Nina imani Maresca huko anaangalia hii game na benchi lote la ufundi

PSG 3 - 0 MADRID
Tunafuatilia sana hadi Real Madrid wameacha kucheza Alonso anaweza asiilete timu uwanjani baada ya HT😀
 
Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu ya FIFA 2025

Chelsea dhidi ya PSG
Uwanja wa MetLife, NJ.
Jumapili tarehe 13 Julai
Saa nane mchana (Uingereza)/3pm (ET) Kipindi cha Kuanza

Kuwa Mabingwa wa Dunia wa Klabu ya FIFA

1752091538755.png
 
Pace
Dynamic
Confidence
Hivi vitu unatakiwa kudeal navyo kwa wakati mmoja unapowakabili PSG huu mlima unahitaji jihad na quality player kila idara tukipoteza concentration sec 5 unaadhibiwa
 
Enzo & Caicedo hizi mashine zipewe maua yao. Work rate yao ni kubwa sana uwanjani.

Tungepata mbadala wa Lavia wakina Enzo na Caicedo wakawa huru kutembea uwanjani aisee eneo la kiungo lingekuwa moto sana.

Lavia majeruhi ndio changamoto.

Labda Santos anaweza kufanya jambo, japokuwa kwa sasa ni mzito sana.
Huyo Lavia mlitusaidia sana kumchukua 🤣🤣
 
Kocha wetu tunaweza kumsema vibaya but kiukweli wakati mwingine anafanya vizuri tumsifie, Jana tumepiga mpira mkubwa kuliko mechi zote za michuano hii.Mimi napenda namna tunavyofika mbali kiasi hiki faida yake inasaidia Nini? Tunajenga mentality wachezaji kuwa na uchu ya ubingwa na pia kwa kocha uzoefu wake kuongezeka baadae tutakuwa tishio sana team imejipata mapema kuliko namna wapinzani wetu wanavyofikiri
Eee naona saiv mmekaa ki bingwa bingwa 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom