Yeah kila jambo na wakati wake. Nashukuru nimefika Fainali waliyotubeza sasa wanatuonea wivu.Ilikuwa ni mpango wa Mungu
Vipi unajisikiaje Chelsea kufika Fainali Kombe la Club Duniani. Hata hasipopata kombe ila atakuwa namba 2 vilabu vyote duniani. Wewe timu yako iko wapi?Mbele ya hii PSG ya Enrique? Mchukue kombe ? Kupata kichekesho kama hiki tunabonyeza ngapi ?
Afukuzwe sababu bado ni mchanga kiuwezo ila akifanya vizuri ishu ya kufukuzwa ndiyo imeyeyuka hivyo.Unampongeza na wakati huohuo UNATAKA afukuzwe Sasa tukueleweje😂
Namaanisha back up yake hatuna sijui akiumia itakuaje na pia anahitajika pia kupumzishwa baadhi ya game maana sio kwa ile workrate yakeMbadala kwani anahama? au unamaanisha cover/backup
Kama ni mzee sawa ujipumzishe kuangalia usipate magonjwa ya moyo😂Afukuzwe sababu bado ni mchanga kiuwezo ila akifanya vizuri ishu ya kufukuzwa ndiyo imeyeyuka hivyo.
Nani apendaye ugonjwa wa moyo kwa kupenda kisichopendeka?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mbele ya hii PSG ya Enrique? Mchukue kombe ? Kupata kichekesho kama hiki tunabonyeza ngapi ?
Ameanza kujirekebisha maana namuona siku hizi gusto anachezeshwa RB badala ya inverted midfielder anayopenda kumchezeshaAfukuzwe sababu bado ni mchanga kiuwezo ila akifanya vizuri ishu ya kufukuzwa ndiyo imeyeyuka hivyo.
Nani apendaye ugonjwa wa moyo kwa kupenda kisichopendeka?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Richa ya kwamba amepata injury ila simuoni akipewa nafasi au kwasababu tupo kwenye michuanoAmepata majeruhi ya misuli kwenye mazoezi kabla ya nusu fainali ya jana
Pedro NetoNamaanisha back up yake hatuna sijui akiumia itakuaje na pia anahitajika pia kupumzishwa baadhi ya game maana sio kwa ile workrate yake
Jidanganye wewe ni mbabe wa stress za kujitakia tukuzike mapema tuendelee kumla Shemeji yetu na kulea watoto.Kama ni mzee sawa ujipumzishe kuangalia usipate magonjwa ya moyo😂
Gusto bado anainvert. Kuinvert ni sala ya bwana kwa mafulback sasa hivi, Cheza na Marseca nini. Ila naona ana invert kwenye no 10 sio kwenye midfield hiyo ni ya CucurellaAmeanza kujirekebisha maana namuona siku hizi gusto anachezeshwa RB badala ya inverted midfielder anayopenda kumchezesha
Mimi siamini kwenye Bali naona momentum ya team itakuwa high kitu ambacho kocha atakifanya pre-season atawapa nafasi wachezaji ambao hawapati nafasi Kama Essugo, Santos n.k ili waoneshe uwezo wao ukoje alafu wengine watakuwa wanapumzishwaLigi ya EPL inaanza mwezi wa nane, mwezi huu wa saba kuelekea katikati ndio tutamaliza hii michuano ya FIFA CWC. Sasa wachezaji watapumzika kwa muda gani? Waje warudi pre season wapate walau wiki mbili za mazoezi ndio waje kuanza ligi!
Naamini tutaanza kwa kuchechemea sana.
Ndugu yangu unaenda kwa kukariri, hii Chelsea ya kuanzia March 2025 sio ile ya Disemba 24 na Januari 25. Imebadilika sana. Sasa hivi tunaimba wimbo wa kushinda kila mechi iliyo mebele yetu tuJidanganye wewe ni mbabe wa stress za kujitakia tukuzike mapema tuendelee kumla Shemeji yetu na kulea watoto.
Ubinadamu ni kazi/The humanity i is work.
Wewe unaowaita ni team dhaifu ndio hizo zimewatoa inter Milan, Man City na atlectico MadridKuna mtu kamtaja aseno ama utd hapa ? Jibu hoja mmeunga unga kwa bahati ya kucheza na vitimu dhaifu mnaona tayari mna timu nzuri! Mtadhalilika vibaya sana fainali ! Sio Madrid wala PSG mnaoweza kuwafunga
Kwani ni mara yake ya Kwanza kucheza chini ya kiwango?Madueke habari za kuamia arsenal zinamchanganya akili mpk jana amecheza chini ya kiwango sana
Watakuwa wametusaidia sana tunauuza mchezaji ambaye hatakiwi na team kwa bei nzuriArsenal wamesha wasilisha kibunda cha pauni milioni 50 kwa kumsajili Noni Madueke
Tumpe tusimpe?
Hao uliomention unamaanisha Nini?Pedro Neto
Caicedo
James
Gusto
Colwill
Halafu akifukuzwa aje kula kwako?, Hivi unadhani hao makocha unaowaona wanafaa waliibuka ghafla!!?, Maresca ndo kocha wa Chelsea kwa sasa tumuunge mkono tu na uzuri timu inaonesha mabadiliko makubwa tu au ndo tumezoea kutafuta udhaifu tu wa mtu hata kama afanye vizuri kiasi gani!!? Ili mladi tu umkosoe?Afukuzwe sababu bado ni mchanga kiuwezo ila akifanya vizuri ishu ya kufukuzwa ndiyo imeyeyuka hivyo.
Nani apendaye ugonjwa wa moyo kwa kupenda kisichopendeka?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.