Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Sometimes uwezo binafsi wa Wachezaji huwafichia madhaifu ya uwezo makocha, hususani ktk vilabu vikubwa kama Chelsea FC.Lakini hapa amepata matokeo mazuri hadi sasa
Muda utatusahihisha mimi na wewe yupi yuko sahihi kihoja.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.