Wakati huo tunamtetea Jackson, Pedro hakuwepo na msimu wake wa kwanza alijitahidi, usisahau hiloSasa ulikuwaga unamtetea huyo takataka sijui ulikuwa unapata wapi nguvu
Hata takwimu wametuongoza sehemu nyingi, jamaa ni noma hawaHawa wabrazil ligi yao ni # ngapi kwa ubora? aisee wabrazil ligi yao nilikuwa nawachukulia oyaoya
Utakautaka ni upiCaseido ameanza kuwa takataka.
Cucurella Kawa mwamba kweli kweli siku hizi ,hili jamaa ni nguzo sana kwenye beki yetu , nikikumbuka ilivyobaki kidogo jamaa auzwe unyumbuniChelsea Vs Fluminense
Leo Dario Esugo hayupo hata bench
4-2-3-1
Lineup
Formation: 4-2-3-1
--------------Joao Pedro--------------
Nkunku -----------Palmer----------Neto
-----Enzo -------------Caicedo-----
Cucurella --Chalobah --Tosin --Gusto
---------------Sanchez-----------------
Bench
1) Penders
2) Jorgensen
3) Slonina
4) Acheampong
5) James
6) Anselmino
7) Sarr
8) Santos
9) Dewsbury-Hall
10) Madueke
11) George
12) Jackson
13) Guiu
View attachment 3398474
Ukitaka habari ya ligi ya Brazil tuulize maafisa kamari tena ambao hatubeti magoli tunabet kona na kadi tutakupa habari zao.Hawa wabrazil ligi yao ni # ngapi kwa ubora? aisee wabrazil ligi yao nilikuwa nawachukulia oyaoya
Kiukweli kabisa tumependelewa. Mimi nilijua lile ni tuta tuKibongo Bongo na pale UK ile ni penalti 😂
Wanaojua mpira wamesema Sio penalty 😂Kiukweli kabisa tumependelewa. Mimi nilijua lile ni tuta tu
Unasema tulikuwa wapiiiOya wakuu, mmeona build-up ya hili goli la pili 🙌