Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi tuliwezaje kumaliza top 4 na straika kama Jackson, matumizi ya akili ni sifuri
Jackson ana presure kubwa sasa hivi na sijui kama ataweza kucheza tena vizuri. Ile miss inaonyesha wazi ni flustration kichwani. Uwepo wa Joao Pedro na Liam Delap haitampa confidence hata kidogo
 
20250709_001247.jpg
20250709_001315.jpg
 
Jackson ana presure kubwa sasa hivi na sijui kama ataweza kucheza tena vizuri. Ile miss inaonyesha wazi ni flustration kichwani. Uwepo wa Joao Pedro na Liam Delap haitampa confidence hata kidogo
Bahati mbaya kwa mwendo huo huo wa pressure ndio atapoteza vyote
Huko mbele hatuangalii nani anafunga tunaangalia timu inapataje ushindi
Sasa watu kama Jackson watakuwa kwenye EFL huko
 
Mnamo 2012 tuliiondoa Benfica na tukashinda UCL.

Mnamo 2013 tuliiondoa tena Benfica na tukashinda UEL

Mnamo 2021 tuliiondoa Porto ya Ureno na tukashinda UCL

Tumetoka kuiondoa Benfica katika Kombe la Dunia la Klabu ebu fikiria nini kitatokea 😀 😀
 
Maombi yenu Wakuu Chelsea SC anaenda kupata aibu kubwa fainali ya world club cup 2025 tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Fire Maresca The Chelsea FC Coach.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mnamo 2012 tuliiondoa Benfica na tukashinda UCL.

Mnamo 2013 tuliiondoa tena Benfica na tukashinda UEL

Mnamo 2021 tuliiondoa Porto ya Ureno na tukashinda UCL

Tumetoka kuiondoa Benfica katika Kombe la Dunia la Klabu ebu fikiria nini kitatokea 😀 😀
Bado tu Msimamizi wa mazoezi ya Chelsea FC Maresca hajafukuzwa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kuna uwezekano tukacheza fainali bila ya Caicedo
Naomba Mungu Lavia na Esugo wawe wamepona
 
Striker anatakiwa kuwa hivyo yaani mpira ukijaa mguuni ni shuti zito sio kama kale ka shuti mtoto alikopiga Nkunku
Matakataka kwenye first eleven yanazidi kupungua amebaki Sanchez

Nkunku, Madueke, Jackson, Sanchez wakitokea wanunuzi ni kuchukua hela

Jackson asipopata mshauri wa kumtuliza mapepe anaishia kucheza carabao na FA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom