Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Enzo & Caicedo hizi mashine zipewe maua yao. Work rate yao ni kubwa sana uwanjani.

Tungepata mbadala wa Lavia wakina Enzo na Caicedo wakawa huru kutembea uwanjani aisee eneo la kiungo lingekuwa moto sana.

Lavia majeruhi ndio changamoto.

Labda Santos anaweza kufanya jambo, japokuwa kwa sasa ni mzito sana.
Mechi ya Andrey Snatos ya kwanza tu dakika chache alizopewa hakucheza kwa ujasiri lakini mechi mbili za mwisho alicheza vizuri sana. Ni mzuri kwenye kuzima mashmbulizi na kukokota mipira mbele
 
Kitu nilichokiona mechi ya jana

Mbinu za kocha bila wachezaji kujituma uwanjani ni kazi bure

Mbinu za kocha bila selection nzuri ya Wachezaji ni kazi bure

Jana wachezaji walionza 1st eleven walijituma sana kuna muda nilisema moyo wa Enzo utapasuka. Caicedo kapiga kazi chafu sana.

Mabeki ndio usiseme utulivu wa hali ya juu na kujituma kukaba.

Mkanda ulianza kusokota pale sub zilizoanza kufinyika, kule mbele wakaingia makirikiri.
Makocha wote mbinu zao zinafanya kazi kama anao wachezaji sahihi na akawapanga vizuri, zaidi ya hapo ni patapotea
 
Mosses Caisedo yukoje kiafya kwa mechi zingine kama fainali ya world club cup 2025 wakuu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Moses amepinda kwenye kifundo cha mguu wake jana alipofanyiwa chalenge na kuteleza. Itategemea na ukubwa wa tatizo ila kocha nadhani anaweza asimpange jumapili

1752066170538.png
 
Kwanini unaamini hivyo
Ligi ya EPL inaanza mwezi wa nane, mwezi huu wa saba kuelekea katikati ndio tutamaliza hii michuano ya FIFA CWC. Sasa wachezaji watapumzika kwa muda gani? Waje warudi pre season wapate walau wiki mbili za mazoezi ndio waje kuanza ligi!

Naamini tutaanza kwa kuchechemea sana.
 
Sasa unapimtakia mafanikio kocha maresca huku comment zako zingine za fire maresca...mara hajafukuzwa tu tukueleweje mkuu😂...unakuwa kama yule shabiki wa nyumbu Enzi za ole Gunnar anakujaga na comment za Bado hajafukuzwa? Au ndo ww na i.d nyingine?
Kwani kizuri kipi kinachokosaga kasoro hadi kisikosolewe Mkuu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Chelsea sio man u au Arsenal ukielewa hili usingeandika utumbo wako
Kuna mtu kamtaja aseno ama utd hapa ? Jibu hoja mmeunga unga kwa bahati ya kucheza na vitimu dhaifu mnaona tayari mna timu nzuri! Mtadhalilika vibaya sana fainali ! Sio Madrid wala PSG mnaoweza kuwafunga
 
Ligi ya EPL inaanza mwezi wa nane, mwezi huu wa saba kuelekea katikati ndio tutamaliza hii michuano ya FIFA CWC. Sasa wachezaji watapumzika kwa muda gani? Waje warudi pre season wapate walau wiki mbili za mazoezi ndio waje kuanza ligi!

Naamini tutaanza kwa kuchechemea sana.
Sisi ndio tutaanza kwa kishindo kikubwa kwa sababu hii ni preseaosn msisahau hili. Baada ya hapa hakutakuwepo na any other serious preseaosn zaidi ya kuwarm up tu kwa ajili ya ligi. Mchezaji anayemiss hapa ni Gittens tu na watakaosajiliwa ambao sio kwa umuhimu

Taarifa zinasema kuwa Chelsea wataenda pre seaosn pale Cobham tu na watacheza na AC Milan na Levakusen . Haya ni kama mazozezi ya kawaida ya kujiandaa na ligi kwa hiyo hakutakuwepo na kusafiori popote
 
Mmekutana na timu dhaifu hadi fainali, ngoja mcharazwe ndio mtasema mlifikaje fainali
Unajua ukiwa na wivu inakukula wewe sisi tutaendelea kubeba vikombe na makombe na kufurahia maisha. Ninyi mkapimwe maradhi imewala kwa wivu mkubwa kama huu
 
Kuna mtu kamtaja aseno ama utd hapa ? Jibu hoja mmeunga unga kwa bahati ya kucheza na vitimu dhaifu mnaona tayari mna timu nzuri! Mtadhalilika vibaya sana fainali ! Sio Madrid wala PSG mnaoweza kuwafunga
Timu dhaifu fluminense afu imetoka kuwatoa Al hilal aliyemtoa man city..au benfica aliyemfunga Bayern aisee hiziroho mbaya ukizeeka si utaanza kuloga watu mkuu😂
 
Arsenal wamesha wasilisha kibunda cha pauni milioni 50 kwa kumsajili Noni Madueke
Tumpe tusimpe?
 
Unajua ukiwa na wivu inakukula wewe sisi tutaendelea kubeba vikombe na makombe na kufurahia maisha. Ninyi mkapimwe maradhi imewala kwa wivu mkubwa kama huu
Mbele ya hii PSG ya Enrique? Mchukue kombe ? Kupata kichekesho kama hiki tunabonyeza ngapi ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom