John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Bahati Gani mkuu....hivi hizi timu za kibrazil mnazichukuliaje wakuu😂......huo upande ulikuwa na kina Al hilal,man cityUkitaka kulielewa hili, bc inabidi uache ushabiki wa kitimu
Bahati Gani mkuu....hivi hizi timu za kibrazil mnazichukuliaje wakuu😂......huo upande ulikuwa na kina Al hilal,man cityUkitaka kulielewa hili, bc inabidi uache ushabiki wa kitimu
We kwann unahisi tusingefika hapo?Kwakuwa imefika nusu fainali ndo imekuwa stable?
Nambie, tungekutana na Bayern, PSG, Madrid tungefika hapo?
Njia tuliopitiaWe kwann unahisi tusingefika hapo?
Watu Bado hawatakuelewa😂Hapana na unajua hilo halipo
Uuzwaji wa wachezaji unaendana na mahitaji ya kocha
Falsafa ya hawa wamiliki wapya ni kununua wachezaji wengi na wachanga ili katika hao kocha awe na pool nzuri ya kuchagua
Kocha akishawachagua wachezaji wake hao wengine wanauzwa iwe kwa profit au kwa hasara
Lengo kuu ni kukwepa kuendelea kwuannunua wachezaji kama akina Sterling ambao ni bei ghali na wanakuja na mahitaji ya mishahara mikubwa.
Hawa wachezaji wachanga wananunuliwa bei chee, mashahara mdogo hata baadaye wakitakiwa kuuzwa ni rahisi
Case study nyingine ni kwamba kusubiri wachezaji wanaswe na timu kama Benfica, Dortmund au Brighton wanakuja kuuzwa wakiwa wachanag kwa bei ghali. Mimi naona huu mfumo unafaida hata wasipouzwa kwa faid kwa sababu timu inakuwa imekwepa kutumia pesa nyingi kwa wachezaji wazuri.
Wee fikiria mchezaji kama
Andrey Santos
Estevao Willian
wangeangukia kwenye mikono ya Brighton au Benfica wangeuzwa shilingi ngapi baada ya mwaka mmoja
Commitment ya hawa wamiliki hata kama wamefanya makosa mengi huko nyuma bado ni nzuri ukitofautisha na timu zingine kubwa. Wamjitoa sana kuwanunua wachezaji bora
Nataka niwahakikishie kuwa mchezaji akishaingia mikononi mwa Maresca na akiwa na amani naye hakuna mmiliki atalazimisha wauzwe. Kama wapo nipe hata mmoja
Mimi nahisi hawa fluminence ni wagumu kuliko timu zote za brazil tulizocheza nazo etLeo ndio leo wakuu 😂
Hawa tunawabomoa , labda tuzingue tu sisi wenyewe kwenye selection ya wachezaji na kukosa umakini uwanjani . Flamengo ndio wagumu kuliko timu zote za brasil kwa mimi nilivyoona , maana wanapeleka moto mwanzo mwishoMimi nahisi hawa fluminence ni wagumu kuliko timu zote za brazil tulizocheza nazo et
Hahahaha ngoja tuone kina madueke watafanya niniHawa tunawabomoa , labda tuzingue tu sisi wenyewe kwenye selection ya wachezaji na kukosa umakini uwanjani . Flamengo ndio wagumu kuliko timu zote za brasil kwa mimi nilivyoona , maana wanapeleka moto mwanzo mwisho
Na hao flamengo ndo wanaongoza ligi yao kule brasilHawa tunawabomoa , labda tuzingue tu sisi wenyewe kwenye selection ya wachezaji na kukosa umakini uwanjani . Flamengo ndio wagumu kuliko timu zote za brasil kwa mimi nilivyoona , maana wanapeleka moto mwanzo mwisho
leo kocha tu asizingue kwenye upangaji wa kikosiNa hao flamengo ndo wanaongoza ligi yao kule brasil
Hata Colwill hatakuwepo, wote na Delap wana njano mbiliTeam news: Lavia na Delap watakosa mchezo
Kwa utabiri wangu kule mbele Lw atacheza Joao Pedro no 9 ataanza Jackson no 11 atakuwa Pedro neto in short Leo Jackson na Joao Pedro wataanza pamoja
Kwani James kapona?Kuna kila dalili kwamba Joao Pedro atacheza kama Striker
--------------Joao Pedro------------
Palmer ------------Enzo----------Neto
------Santos --------------Caicedo----
Cucurella ---Chalobah ---Tosin ---James
---------------Sanchez-----------------
Hivi wakiingia fainal Chelsea na PSG atashabikia team gani napenda aulizwe Hilo swali na waandishiThiago Silva amesema yeye ni hsabiki wa PSG na Chelsea ila leo anaweka pembeni ushabiki wa Chelsea ili afanye kazi maalumu ila baadaye ataurudia
Gemu sangap wataalamuleo kocha tu asizingue kwenye upangaji wa kikosi
Saa nne za usikuGemu sangap wataalamu