Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Japokuwa wengi wenu hampendi madueke ila akitoka nkunku na kuingia yy mpira utabadiĺika kila la kheri timu yangu
Screenshot_20250708-210354_Sofascore.jpg
 
Chelsea Vs Fluminense
Leo Dario Esugo hayupo hata bench
4-2-3-1
Lineup

Formation: 4-2-3-1

--------------Joao Pedro--------------

Nkunku -----------Palmer----------Neto

-----Enzo -------------Caicedo-----

Cucurella --Chalobah --Tosin --Gusto

---------------Sanchez-----------------

Bench
1) Penders
2) Jorgensen
3) Slonina
4) Acheampong
5) James
6) Anselmino
7) Sarr
8) Santos
9) Dewsbury-Hall
10) Madueke
11) George
12) Jackson
13) Guiu

1751999195377.png
 
Japokuwa wengi wenu hampendi madueke ila akitoka nkunku na kuingia yy mpira utabadiĺika kila la kheri timu yangu
View attachment 3398465
Mnyimi yule, anacheza vizuri ila kuna wakati wa maamuzi ya busara yeye anacheza fyongo, Nkunku ni mzuri kwenye akili, anachokosa Nkunku ni pressing na ana dalili za uvivu uwanjani ila akiwa na mpira anamaamuzi ya busara kuliko Madueke. Kocha anamlalamikia hata kwenye mazezi hana nidhamu,
 
Chelsea Vs Fluminense
Leo Dario Esugo hayupo hata bench
4-2-3-1
Lineup

Formation: 4-2-3-1

--------------Joao Pedro--------------

Nkunku -----------Palmer----------Neto

-----Enzo -------------Caicedo-----

Cucurella --Chalobah --Tosin --Gusto

---------------Sanchez-----------------

Bench
1) Penders
2) Jorgensen
3) Slonina
4) Acheampong
5) James
6) Anselmino
7) Sarr
8) Santos
9) Dewsbury-Hall
10) Madueke
11) George
12) Jackson
13) Guiu

View attachment 3398474
Bora hata Santos acheze na Caicedo pale Kati, Enzo na Palmer wakacheza no 10 kuliko kumpanga Nkuku, Nkuku ni mfanyakazi hewa
 
Nimemsikia Leo kocha wetu eti anasema flumenese ana advantage cos kacheza mechi nyingi kuliko sisi, hii kitu ndicho huwa ananikera Enzo Maresca, kwa hii kauli yake imenitisha sijui Kama tutatoboa anawavunja morali wachezaji
 
Nimemsikia Leo kocha wetu eti anasema flumenese ana advantage cos kacheza mechi nyingi kuliko sisi, hii kitu ndicho huwa ananikera Enzo Maresca, kwa hii kauli yake imenitisha sijui Kama tutatoboa hanawavunja morali wachezaji
Kocha nae ni taka taka hajiamni
 
Mnyimi yule, anacheza vizuri ila kuna wakati wa maamuzi ya busara yeye anacheza fyongo, Nkunku ni mzuri kwenye akili, anachokosa Nkunku ni pressing na ana dalili za uvivu uwanjani ila akiwa na mpira anamaamuzi ya busara kuliko Madueke. Kocha anamlalamikia hata kwenye mazezi hana nidhamu,
Nkuku Kasi Hana, dribble hawezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom