Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,531
- 18,727
Kule usidhani unakutana na kina Betis ama Noah
Tunakwenda kukiwasha kule Marekani hadi Fainali
Tunakwenda kukiwasha kule Marekani hadi Fainali
tatizo la Sancho hajitumi, angejituma hata robo yake angekuwa mchezaji mkubwa sana. Angalia aina ya magoli anayofunga, so easy so easy sasa je angejituma zaidi angefikia na kuzidi ile form ya DortmundKwakua tunaenda kuwa na wachezaji wachanga wengi Sancho atatufaa sana pamoja na hivyo Sancho sio average player
Subiri nitumie Bilioni mbili kwenye misimu miwili kwanzaWewe umechukua Nini?
Kenge kabisaChura wewe huna akili hata mahesabu ulifeli darasani wewe
Umefungwa ngapi?Tunafungwa na hakuna na huwezi kulichukua mkuu
Taarifa za uhakika zinadai kuwa tofauti ya matumizi ya Chelsea na Arsenal kwenye muongo uliopita ni $290 Arsenal wakiwa wametumia zaidi ya ChelseaSubiri nitumie Bilioni mbili kwenye misimu miwili kwanza
Huna akili unajua.Taarifa za uhakika zinadai kuwa tofauti ya matumizi ya Chelsea na Arsenal kwenye muongo uliopita ni $290 Arsenal wakiwa wametumia zaidi ya Chelsea
Sababu kubwa ni kwamba Arsenal hawana kitu cha kuuza wakati Chelsea wanauza sana wachezaji
Ngoja niweke kisomi zaidi:
Katika miaka kumi iliyopita matumizi haya hapa:
Jumla ya Matumizi ya Chelsea: $2.58 bilioni
Jumla ya Matumizi ya Arsenal: $1.65 bilioni
Tofauti: $2.58 bilioni - $1.65 bilioni = $930 milioni
Net spending ya Chelsea
Mapato kutokana na Mauzo: $1.50 bilioni
Matumizi Halisi: $1.08 bilioni
Net spending ya Arsenal
Mapato kutokana na Mauzo: $287 milioni
Matumizi Halisi: $1.37 bilioni
TOFAUTI YA NET SPENDINGS
Jumla ya Matumizi halisi ya Chelsea: $1.08 bilioni
Jumla ya Matumizi halisi ya Arsenal: $1.37 bilioni
Tofauti: $1.37 bilioni - $1.08 bilioni = $290 million USD (Arsenal wametumia zaidi ya Chelsea).
Kama kwa uchambuzi huu utarudi hapa tutakupiga mijeledi matakoni
PUMABF ZAO
Wewe ni mpumbavu wa mwisho hapa duniani., Hakuna wa kukusaidiaHuna akili unajua.
Kwahiyo wewe na Bakhresa umemzidi matumizi kwakua huna unachouza?
Kenge hua mnatumia nini kufikiria? Unaambiwa kiasi ulichotumia unajiongezea definition eti net spending.
Umetumia sh ngapi? Hizo net spending ingekua zina maana unayoitaka hapa msingefungiwa kusajili
Alishtuka baada ya mechi kuisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saint Anne mshtue ndugu yako OllaChuga Oc inaonekana hana habari yoyote mpaka muda huu, yaani hata hajui kua timu yake jana ilikua inacheza fainali na imebeba kombe. View attachment 3349649
Wa kunisaidia ni wewe mpumbavu kiongoziWewe ni mpumbavu wa mwisho hapa duniani., Hakuna wa kukusaidia
Mkuu unasema magoli anayofunga Sancho so easy na wakati ule ndio uwezo wake umekufanya uone ni rahisi sana. Nadhani anayo room ya kuimprove hatutakiwi kumpoteza kabisatatizo la Sancho hajitumi, angejituma hata robo yake angekuwa mchezaji mkubwa sana. Angalia aina ya magoli anayofunga, so easy so easy sasa je angejituma zaidi angefikia na kuzidi ile form ya Dortmund
Hahahahaha haya kweli matakataka yani yalitegemea kabisa yashinde😂😂😂😂Chelsea 4
Real Betis 1
Wanalia uwanjani, baba, mama watoto shemeji. Chelsea wabaya sana
View attachment 3349239