Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maresca ni takataka, yaani hatutaachieve chochote na huyo takataka. Kwa walioangalia mpira wa PSG ndio waone chelsea hakuna mpira tunaocheza miback pass na side ways pass. Tutaenda kutia aibu huko UEFA
Mitoto milaini laini tu utadhani ilibemendwa hadi isiwe na ukatili panapohitajika mechi za nguvu nyingi na akili nyingi, eg Chelsea SC vs Newcastle SC.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mitoto milaini laini tu utadhani ilibemendwa hadi isiwe na ukatili panapohitajika mechi za nguvu nyingi na akili nyingi, eg Chelsea SC vs Newcastle SC.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nadhani hiyo mechi hukuiangalia.
 
Nadhani hiyo mechi hukuiangalia.
Kwa hiyo ile mechi kwenu ndio bonge moja la mechi??! Mpira unazingushwa tu uwanjani bila malengo yoyote, ball possesion 100% kw 0% miback pass na side ways pass. On Target0 off Target0
 
Huu mpira wanaocheza PSG kwa dakika 15 za mwanzo, Maresca mpaka anastaafu ukocha hatokaa aweze kuufundisha.
Kwa sasa kocha ni Maresc a ebu tumuache hadi sababu ya Maresca out ipatikane
Mwakani tunashiriki UCL
Tutapigania ubingwa wa EPL
Atasajiliwa wachezaji waliopungua kama striker, beki na winga
Show yake ya mwakani ndio itakayokuwa hakimu wa kumhukumu
 
We umeongea la maana
 
Unataka nini Maresca afanye ndio uamini kuwa yule ni takataka?

Bado Maresca ni upuuzi mtupu kwa namna ya Wachezaji wa Chelsea SC wamelegea tutegemee kupata aibu zaidi huko UEFA CL 2025/2026.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Unataka nini Maresca afanye ndio uamini kuwa yule ni takataka?
Mimi nilimshambulia sana hasa kwa zile press confrence zake za Nov 24 na Feb 25 ambazo aliongeza hovyo sana hadi wachezaji wakabweteka yeye akiwaangalia tu. Baada ya mashabiki kumshambulia sana mwezi machi alibadilika na kuanza kuongea vizuri. Pia yale maagizo ya kuwalazimisha wachezaji kurudisha mipira nyuma badala ya kupasi kwenda mbele ameache tangu Aprili na ndio maan Chelsea ilishinda mechi nyingi nadhani kati ya mechi. Kwa aprili na mei kati ya mechi 14, Chelsea ilishinda 11, droo 2 na kufungwa 1 (Mechi na Newcastle tena baada ya Jackson kutolewa na bado Chelsea ilicheza vizuri)
Akiendelea hivi, hatakuwa kocha mzuri sana lakini pia hatakuwa kocha mbaya sana
 
Mpira wa Maresca ni wa kawaida sana, hakuna akili pale anayotumia, kwenye mechi anajichosha kushika kidevu kufikiria ujinga.

images.jpeg
 
Humu bn, mda mnao tafuteni kocha wa maana, mrudisheni Di matteo walau ! Kichwa boga Maresca hatowafikisha popote, mje tena muanze kulaumiana !

Wamiliki wenu nao ni vichwa panzi hawajui nini wanataka ama project yao ikoje inaendaje na inakwamaje na kama inakwama wafanyeje
 
Aliyehusika kupropose £25mil kwa Sanchez bado anastahili kufungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka isiyopungua 5
 
Attachments

  • Screenshot_20250603_192835_X.jpg
    Screenshot_20250603_192835_X.jpg
    760.2 KB · Views: 9
Mike Maignan ndiye kipa sahihi wa UCL, sio Robert Sanchez na sio Petrovic. Ana zaidi ya miaka 5 akicheza kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA
1748985204259.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom