Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1748467396481.png
 
Ila Maresca alitaka kuifanya hii mechi ngumu kwa lineup ya kijinga wakati ni fainali
Pili Mawinga wote ni uozo kwa level ya champions league poor kwenye 1v1 na wazito kurelease mipira kinara wao Madueke
Mbinu za kocha bado zinanipa wasiwasi maana kila tukipoteza mpira defensive shape huioni
Anyway ngoja tufurahie kikombe cha kahawa maana something is better than nothing
 
gameplan, iliokuwa aweze kuwasoma na kuja kivingine kipindi cha pili. Na kipindi cha pili kilikuwa kimepangwa kama kipindi cha mauaji ndio maana Reece James, Colwill walipumzishwa ili wasome mchezo
 
Reece James: "Ni hisia nzuri. Wakati mchezo ukiendelea tuliendelea kukua ndani yake na tunashukuru tulifunga mabao manne katika kipindi cha pili. Kuingia kwenye mashindano haya ilikuwa ni lazima tushinde. Msimu ujao tunakwenda tena UCL."
 
Ushindi huu wa 4-1 unanikumbusha fainali nyingine ya Uropa!
Ilikuwa dhidi ya timu fulani ambapo mashabiki wao wana mdomo sana
Eden Hazard alikuwa MOTM kama vile Cole Palmer ni MOTM leo
Ni timu gani hiyo? najua wananisoam na wako hapa ila hawataongea kwa sasa
Arsenal alidungwa chuma nne.....Giroud akiwa mmoja wapo wa wadunguaji wa magoli alipiga kichwa matata sasa. Hazard aliwaburuza uwanjani kidogo watokwe na ulimi
 
Ila Maresca alitaka kuifanya hii mechi ngumu kwa lineup ya kijinga wakati ni fainali
Pili Mawinga wote ni uozo kwa level ya champions league poor kwenye 1v1 na wazito kurelease mipira kinara wao Madueke
Mbinu za kocha bado zinanipa wasiwasi maana kila tukipoteza mpira defensive shape huioni
Anyway ngoja tufurahie kikombe cha kahawa maana something is better than nothing
gameplan, iliokuwa aweze kuwasoma na kuja kivingine kipindi cha pili. Na kipindi cha pili kilikuwa kimepangwa kama kipindi cha mauaji ndio maana Reece James, Colwill walipumzishwa ili wasome mchezo
Soma anavyosema Colwill

Levi Colwill:
"We just had to wait and pick our moments and that is what we did in the second half. Watching from the bench you can see where the spaces are and how you can help the team."

Levi Colwill:
"Ilitubidi tu kusubiri na kuchagua muda wetu na ndivyo tulivyofanya katika kipindi cha pili. Ukitazama ukiwa kwenye benchi unaweza kuona nafasi ziko wapi na jinsi gani unaweza kuisaidia timu."
 
Ila Maresca alitaka kuifanya hii mechi ngumu kwa lineup ya kijinga wakati ni fainali
Pili Mawinga wote ni uozo kwa level ya champions league poor kwenye 1v1 na wazito kurelease mipira kinara wao Madueke
Mbinu za kocha bado zinanipa wasiwasi maana kila tukipoteza mpira defensive shape huioni
Anyway ngoja tufurahie kikombe cha kahawa maana something is better than nothing
Enzo Maresca:

"Lakini ni furaha, uchovu kwa sababu tulikuwa na saa 48 za kujiandaa chini kuliko wao, walicheza Ijumaa, sisi tulicheza Jumapili kwenye mechi kubwa, kubwa. Kwa hiyo nilitarajia kidogo. Katika kipindi cha pili tulicheza vizuri zaidi."
 
Soma anavyosema Colwill

Levi Colwill:
"We just had to wait and pick our moments and that is what we did in the second half. Watching from the bench you can see where the spaces are and how you can help the team."

Levi Colwill:
"Ilitubidi tu kusubiri na kuchagua muda wetu na ndivyo tulivyofanya katika kipindi cha pili. Ukitazama ukiwa kwenye benchi unaweza kuona nafasi ziko wapi na jinsi gani unaweza kuisaidia timu."
Manusura first half kuwa 2-0 jamaa walipoteza clear chance sasa hii kitu kafanye kwenye champions league utaona moto
Pili sijui kwa nn pellerign alimtoa mapema yule winger aliyekuwa anaforce mambo upande wa Gusto
Hizi gambling tactics zikibackfire no excuse
 
Chelsea imeshinda michezo 8 kati ya 9 iliyopita katika mashindano yote! Hata katika mechi ya Newcastle, timu ilionyesha uimara wa ajabu, ikicheza vyema na wanaume 10 pekee. Hii ndio mashabiki wa Chelsea wamekuwa wakingojea kwa muda mrefu.
1748474828516.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom