lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Tulisema hivi hivi kwa Cole Palmer, hakuwa na uzoefu, from nowhere sasa ni talisman wa ChelseaDelap ni Hojlund mwingine tu hakuna teka hapo,,,, ! Mtasingizia tu mmemchukua kwa bei poa ! Bora mngekomaa kwa wale proven Victor ohsimen na Victor Goyk ! !!!!
Huyo ni squad player tu, wakabadilishane na Jackson!!!! Bora hata Victor Boniface wa Liverkusen, au Sesko Benjamin
Maresca ndie amepush asajiliwe na alikuwa naye Man City kwa hiyo anamfahamu sana
Lengo kuu la kumsajili Liam Delap ni kutengeneza ushindani kwa Jackson ili aondokane na hali yake ya kulala usingizi kwa muda mrefu. Kuleta mchezaji kama Victor Osimhen kunaweza kumfunika kabisa Jackson, na hivyo kuzima nafasi zake kabisa ya kukua.
Zaidi ya hayo, mshahara mkubwa wa Osimhen unaweza kuvuruga dressing room Kikosi kimetulia, na hatuhitaji misukosuko isiyo ya lazima kama ilivyotokea Manchester United.