Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

bonge ya mechi.. haya mambo ya fullback mmoja kuingia eneo la kati la uwanja wakati wa build up huwa yana risk sana.
 
Yule jamaa wa wachezaji matakataka aliishia wapi? Aje na summary ya mwisho wa msimu maana ukweli tunamatakataka mengi yakiongozwa na kipara
 
Mara tunachukua kombe

Mara kikubwa tunashiriki CL.

Kenge
 
Hii game kama tukipoteza kocha ndio mtu pekee wa kulaumiwa na lotation zake... Ngoja tuone dk 68, 1-1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom