lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Mimi niliamua kunyamaza tu. Madueke leo kacheza kama ndio mstaafu wa soka, hana haraka, hapasi kwa wakati. Ni bahati nzuri tu second half Palmer, Enzo, James walikiamshaMadueke??! Hivi umeangalia mpira kweli??