NaamAngalau hatujatoka patupu kama asenyoo
Tumefufuka hii timu bado haipo stable ikipata mpinzani mwenye akili timamu tunakufa wima
#KTBFFHChelsea 4
Real Betis 1
Wanalia uwanjani, baba, mama watoto shemeji. Chelsea wabaya sana
View attachment 3349239
Utadhani sio hao waliokuwa wanashangilia kile kigoli kamoya 😂Chelsea 4
Real Betis 1
Wanalia uwanjani, baba, mama watoto shemeji. Chelsea wabaya sana
View attachment 3349239
2019Ushindi huu wa 4-1 unanikumbusha fainali nyingine ya Uropa!
Ilikuwa dhidi ya timu fulani ambapo mashabiki wao wana mdomo sana
Eden Hazard alikuwa MOTM kama vile Cole Palmer ni MOTM leo
Ni timu gani hiyo? najua wananisoam na wako hapa ila hawataongea kwa sasa
Cole Palmer MOTM
View attachment 3349243
Bora hata ungelala. Ungeota unakota makopo 😂😂😂Naendeleza kambi hapa
MKuu wewe umepata nini msimu huu. Chelsea timu kubwa kubwa kuliko arsenal.Mara tunachukua kombe
Mara kikubwa tunashiriki CL.
Kenge