Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani wenyeji mpo? Mbona kimya sana humu...

1396470472963.jpg
 
Lucas Moura is the best mid in the planet for the time being. He was able to neutralize both Hazard and Ramirez.
Poleni watani. Bado mna nafasi though
 
Chelsea inabidi mtafute striker. Kwa kifupi hamna pure striker. Huyo kijana wa 50 million inabidi mumuuze tu
 
duh watu wamelala mapema leo!!! 3-1 sio nyingi mnahitaji 2-0 bila tu. na defence yenu akina john terry lazima watoe boko kazi mnayo

cc: Mentor Ntuzu August8
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
From the minute Ramires amepokea kadi ya njano mchezo wake wote ukabadilika. Aliacha kukaba kabisaaa. He should have been substituted.

Ndo hivyo kwa leo Mou akubali kafanya makosa ya upangaji na hakuwa keen kuangalia subs za kufanya. Ramirez kamfanya Moura aonekane midfield wa ajaaabu.

Willian and Hazard have to be more goal oriented. Hizo chenga zao kama za Cavanni ndo zimemfanya Cavanni akose kama matatu hivi. They should work on feeding the striker (tutakayemsajili next season lol).

Kwa kweli leo nimemmiss Eto'o..!!!

Kwangu mimi Ramires na Matic ni midfielders wazuri sana kukaba but very poor when they have the ball. Luiz siku hizi namuona bettter kuliko Ramires pale kati...he is more composed n relaxed anakaba na kuangalia pa kupeleka mpira.

Anyway kwa game ya leo hiyo ndo analysis yangu. Subs za haraka zilikuwa mbili tu: Lampard for Ramires and Torres/Ba for Schurrle.

Sad but we still have a second chance at home. Lets focus on Sunda...
 
hali sio hali....
nakumbuka ile turn around vs Napoli season mbili nyuma..but we will only have chance kama kikongwe Etoo akiwa fit...ila huyu Stricker wetu expensive hatuna kitu mule..
KTBFFH
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom