Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi wazee wa Kamati ya Roho Mbaya tunaendelea na dua zetu kwa City, Villa na Forest washinde mechi zao zote zilizo salia.
Mburukenge mna fainali 2 zinawangojea dhidi ya Real Betis kwenye conference na N.Forest kwenye Ligi.
Tunawaombea mgongwe kotekote Kenge kabisa nyie.
Mwisho wenu wakuwanga unaishia chalinze
 
Kocha wetu anacomplicate Mambo ndio maana anafeli ni Kama alivyokuwa pochentino kwenye mechi za mwanzonzoni mfumo aliyokuwa anatumia kwenye pre season tofauti na alivyoanza kutumia kwenye ligi mpaka dk za mwishoni ndio akastuka.Hiki kitu ndio anacho Enzo Maresca si umeona hapo Reece James kachezwa RB utakuja kushangaa mwisho ijayo anapigwa benchi au atachezeshwa middle, George ameshaonesha hawezi no 9 but utashangaa atachezeshwa
 
Kama hakuna upungufu kwenye midfield, Maresca hakuwahi kumchezesha Reece James kwenye Kiungo.
Changamoto iliyopo ni kumanage load balance ya Lavia na Reece James kwa pamoaj na ndio maana wakati Lavia anhitajika kupumzishweqa, James anawekwa katikati and vice verser. Ila kama Enzo na Caicedo wote wanacheza James akingia ni RB. Ila kama mmoaj wa Enzo au caicedo hachezi na Lavia yuko nje, James ndio anawekwa kati. Pia nadhani Maresca alimchezesha zaidi James katikati kumanage Load balance, sijui kama ni kwlei lakini wengine wansema kwenye RB James anatumia nguvu nyingi kwenye misuli zaid akicheza katikati
 
Safi sana, wakina mama wametulipia, hao wakina mama wanapga direct football moja ya hatarii nimewacheki for the first tym jana,mpira unavutia kuangalia. sio kama wanaume mpira unazunguuushwaa weeee bila kujua waufanyie nini!!

Kuna muafrika mmoja yaan ana pase kama mwanaume, cjui ni mwanaume yule? Wakina mama wamenipgia season Invicible. Safi sana.
Sandy Baltimore katupa TREBLE leo
1747580146755.png
 
Kama hakuna upungufu kwenye midfield, Maresca hakuwahi kumchezesha Reece James kwenye Kiungo.
Changamoto iliyopo ni kumanage load balance ya Lavia na Reece James kwa pamoaj na ndio maana wakati Lavia anhitajika kupumzishweqa, James anawekwa katikati and vice verser. Ila kama Enzo na Caicedo wote wanacheza James akingia ni RB. Ila kama mmoaj wa Enzo au caicedo hachezi na Lavia yuko nje, James ndio anawekwa kati. Pia nadhani Maresca alimchezesha zaidi James katikati kumanage Load balance, sijui kama ni kwlei lakini wengine wansema kwenye RB James anatumia nguvu nyingi kwenye misuli zaid akicheza katikati
Kulikuwa na umuhimu gani wakumchezesha George kwenye no 9 kwanini asingeanza tu Lavia alafu 9 awe neto
 
Kocha wetu anacomplicate Mambo ndio maana anafeli ni Kama alivyokuwa pochentino kwenye mechi za mwanzonzoni mfumo aliyokuwa anatumia kwenye pre season tofauti na alivyoanza kutumia kwenye ligi mpaka dk za mwishoni ndio akastuka.Hiki kitu ndio anacho Enzo Maresca si umeona hapo Reece James kachezwa RB utakuja kushangaa mwisho ijayo anapigwa benchi au atachezeshwa middle, George ameshaonesha hawezi no 9 but utashangaa atachezeshwa
Sasa si Hana no. 9 mwingine mkuu Jackson anatumikia adhabu ya kadi nyekundu, guiu n nkunku pancha
 
Nottingham Forest tuko hapa kula na nyie kenge sahani moja. Lazima Forest tuingie UCL na kuwaachia nyie Chelkenge mcheze Europa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitafurahi sana endapo Utd wanaoshika nafasi ya 16 wakifanikiwa kwenda Uefa, halafu hizi kenge ziikose top5 msimu ujao zikacheze Europa.
1747661742053.jpg
 
Nottingham Forest tuko hapa kula na nyie kenge sahani moja. Lazima Forest tuingie UCL na kuwaachia nyie Chelkenge mcheze Europa.
Chuki yenu kwa Chelsea ni kwa vile mnajua kuwa tutabeba makombe kabla yenu. Puzi mawe ninyi kila mwaka msimu ujao hadi Yesu arudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom