Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitafurahi sana endapo Utd wanaoshika nafasi ya 16 wakifanikiwa kwenda Uefa, halafu hizi kenge ziikose top5 msimu ujao zikacheze Europa. View attachment 3339038
Unafikiri hao United watapelekwa UEFA kwa maombi ya mwamposa?, ni uwezo! Na uwezo hamna. Spars wameshawafanya Nyumbu kama wake halali kbs. So acha kuishi kwnye kitu ambacho hakiwezekani. Utapata magonjwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkohoti unapata wapi jeuri ya kuiongelea Anbitabo kwa dharau namna hii?
Kina Antony na Real Betis yao wamesha apa kua ni bora wachezaji wote 11 wafie uwanjani lakini sio kukosa Conference Cup.

Mbaya zaidi leo Mancity anamgonga Bournemouth anaenda kukaa nafasi ya 3 halafu nyie Chelkenge mnarudi nafasi ya 5.
Mechi za mwisho sasa Utd kwa makusudi tunamuachia Villa ashinde akae nafasi ya 5 ili vita ya kuwania nafasi ya 6 ibaki kwa Chelsick vs Forest, na uzuri nyie Kenge kwa sasa hamna timu ya kumfunga Forest nyumbani kwake.

Msimamo wa ligi utakua hivi
1: Liverpool 87
2: Arsenal 74
3: City 71
4: Newcastle 69
5: Villa 69
6: Forest 68
7: Chelsick 66

Hivyo Unakosa Conference cup na top 5 pia unaikosa, halafu mtatueleza vizuri humu huyo Enzo Malecela ni kocha au ni mwalimu Singeli.
1747724361628.jpg
 
Hizo ndoto za arinacha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pambaneni mbebe Conference Cup walau mkawatishe nalo kwenye michuano ya Europa.
Hatma kati ya Chelsea au Forest kwenda Uefa inashikiliwa Man Utd, kwa makusudi kabisa baada ya kubeba Europa tunamuachia Villa ashinde amalize kwenye top 5 halafu Chelkenge na Forest mpambanie nafasi ya 6.

Tafuteni kocha wa kueleweka, Huyo Malecela ni Arteta aliezeeka hawezi kuwafikisha popote.
1747729438984.jpg
1747724361628.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pambaneni mbebe Conference Cup walau mkawatishe nalo kwenye michuano ya Europa.
Hatma kati ya Chelsea au Forest kwenda Uefa inashikiliwa Man Utd, kwa makusudi kabisa baada ya kubeba Europa tunamuachia Villa ashinde amalize kwenye top 5 halafu Chelkenge na Forest mpambanie nafasi ya 6.

Tafuteni kocha wa kueleweka, Huyo Malecela ni Arteta aliezeeka hawezi kuwafikisha popote. View attachment 3339711View attachment 3339712
Mbona mnajiamini km vile mtashinda mechi ya spurs😂😂....pambaneni mshinde lasivyo mtakua mnachagua chagua timu za kuzishabikia nyakati za usiku wa ulaya km nyumbu wanavyohama mbuga🤣
 
Oyaa tumebakisha mechi ngapi wakulungwa? Na Kuna kombe lolote tumeingia fainali msimu huu??

Matakataka mengine yanasemaje??
Sisi ndio Chelsea bwana alaaah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila OllaChuga Oc banaa, yeye ni shabiki wa Chelsea ila mpaka muda huu hajui timu yake inashika nafasi ya ngapi, hajui mechi za ligi zimebaki ngapi, hajui kama timu yake imeingia fainali kwenye michuano yoyote.
Akitokea mwehu yoyote humu akamwambia Chelsea imebeba Epl ataenda kwenye majukwaa yote ya sports kuwatambia[emoji16][emoji16][emoji16]
873735322.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila OllaChuga Oc banaa, yeye ni shabiki wa Chelsea ila mpaka muda huu hajui timu yake inashika nafasi ya ngapi, hajui mechi za ligi zimebaki ngapi, hajui kama timu yake imeingia fainali kwenye michuano yoyote.
Akitokea mwehu yoyote humu akamwambia Chelsea imebeba Epl ataenda kwenye majukwaa yote kuwatambia[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3340025
Hahaha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkohoti unapata wapi jeuri ya kuiongelea Anbitabo kwa dharau namna hii?
Kina Antony na Real Betis yao wamesha apa kua ni bora wachezaji wote 11 wafie uwanjani lakini sio kukosa Conference Cup.

Mbaya zaidi leo Mancity anamgonga Bournemouth anaenda kukaa nafasi ya 3 halafu nyie Chelkenge mnarudi nafasi ya 5.
Mechi za mwisho sasa Utd kwa makusudi tunamuachia Villa ashinde akae nafasi ya 5 ili vita ya kuwania nafasi ya 6 ibaki kwa Chelsick vs Forest, na uzuri nyie Kenge kwa sasa hamna timu ya kumfunga Forest nyumbani kwake.

Msimamo wa ligi utakua hivi
1: Liverpool 87
2: Arsenal 74
3: City 71
4: Newcastle 69
5: Villa 69
6: Forest 68
7: Chelsick 66

Hivyo Unakosa Conference cup na top 5 pia unaikosa, halafu mtatueleza vizuri humu huyo Enzo Malecela ni kocha au ni mwalimu Singeli. View attachment 3339636
Yaani mashabiki wa Nyumbu imebaki midomo tu uwanjani sifuri. Nyie hata game ya vila ingekua ni fainal ya UEFA na mpewe na goli bado mtamfungwa. Msijidanganye mtamuachia. Sisi hatutegemei sijui nani afungwe ili tutinge UEFA, tunajitegemea wenyewe tushinde game yetu basiii.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa Mkohoti kwa akili zako tu za kawaida unaweza kumfunga Forest nyumbani kwake?
Last match mliyocheza darajani pamoja na Forest kuwa pungufu baada ya J. Ward Prowse kula umeme mlishindwa kuwafunga, ndio mtegemee kuwafunga mechi ijayo tena wakiwa kwao wamekamilika huku wakiwa na molari ya hali ya juu ya kushiriki michuano ya Ulaya msimu ujao?
1747803604854.jpg
1747803737680.jpg
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
ila OllaChuga Oc banaa, yeye ni shabiki wa Chelsea ila mpaka muda huu hajui timu yake inashika nafasi ya ngapi, hajui mechi za ligi zimebaki ngapi, hajui kama timu yake imeingia fainali kwenye michuano yoyote.
Akitokea mwehu yoyote humu akamwambia Chelsea imebeba Epl ataenda kwenye majukwaa yote ya sports kuwatambia
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
View attachment 3340025
Ollachuga ni Saint Anne wa Chelsea. Saint Anne hata mechi huwa haangalii kwa sababu ya uoga wa kufungwa. Matokeo anakujaga kucheki jukwaani siku moja au mbili baada ya mechi. Akikuta walishinda, anaangalia marudio.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora hata Saint Anne anajua ratiba zote za timu yake, anawajua wachezaji wake wote na mara kibao utakutana nae kwenye vibanda umiza, ila mwamba OllaChuga Oc yeye anafatilia mpira akisikia tu Chelsea imeshinda tena hua hata hajui chelsea imeshinda ikicheza na timu gani.
OllaChuga Oc mtu wa maana kabisa hataki stress kabisa katika maisha yake kwa sababu ya mamipira, ndio maana humkuti hata akilialia humu timu yake inapovurunda.
1734335891522.jpg
 
View attachment 3340729
😀😀😀 huyu mwamba ana bando la kuuliza wanajukwaa Chelsea inacheza na nani na iko nafasi ya ngapi lakini hana bando la hata kugoogle Chelsea au hata kucheki livescore.com ajue timu yake hata iko nafasi ya ngapi 😀😀😀
 
[emoji3][emoji3][emoji3] huyu mwamba ana bando la kuuliza wanajukwaa Chelsea inacheza na nani na iko nafasi ya ngapi lakini hana bando la hata kugoogle Chelsea au hata kucheki livescore.com ajue timu yake hata iko nafasi ya ngapi [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwamba hataki presha kabisa, usikute hata kushabikia Kenge ni ushabiki tu wa kurithi, alimkuta babu yake anashangilia Chelsea, akamuona baba yake pia anashangilia Chelsea akaamua na yeye kua ze Blauzi.
Usishangae kukuta familia nzima wanashabikia chelsea, na yoyote atakae diriki kushabikia timu nyingine anatengwa na ukoo, hivyo kishingo upande inabidi uonyeshe support tu kama OllaChuga Oc ila moyoni kabisa utakuta anaikubali zaidi Manchester United.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa Mkohoti kwa akili zako tu za kawaida unaweza kumfunga Forest nyumbani kwake?
Last match mliyocheza darajani pamoja na Forest kuwa pungufu baada ya J. Ward Prowse kula umeme mlishindwa kuwafunga, ndio mtegemee kuwafunga mechi ijayo tena wakiwa kwao wamekamilika huku wakiwa na molari ya hali ya juu ya kushiriki michuano ya Ulaya msimu ujao?
View attachment 3340630View attachment 3340632
Baada ya leo kuisha najua hatutakuona tena hapa, nguvu na muda ulioutumia kugoogle h2h nottingham vs chelsea, ungeutumia kugoogle tott vs manunu uone namna gani mna mlima mrefu.

Hiyo H2H + recent forms mbona ipo wazi kbs, anaeenda kushinda anajulikana. Huyo nottingham ana morali gani mzembe huyo, aanze kuombea sijui huyu na huyu apoteze.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Malecela baada kupata ushindi mfululizo akajifanya kua yeye hayupo kwenye mbio za ubingwa, alisahau kua waswahili tuna ule msemo wetu "Maneno yanaumba" matokeo yake baada ya kuropoka tu hivyo akawa anadundwa mfululizo mpaka kujikuta kweli yuko nje mpaka ya top4.
1747830538205.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Malecela baada kupata ushindi mfululizo akajifanya kua yeye hayupo kwenye mbio za ubingwa, alisahau kua waswahili tuna ule msemo wetu "Maneno yanaumba" matokeo yake baada ya kuropoka tu hivyo akawa anadudundwa mfululizo mpaka kujikuta kweli yuko nje mpaka ya top4.View attachment 3341069
Si bora sisi tupo nje ya top 4, kuliko nyie msimu wote huu, mlichofanikwa ni kuwapita wale walioshuka daraja.
 
Jumapili ni kushinda tu hakuna lugha nyingine
Murilo anacheza anaumwa
Watu wa kuwadhibiti ni Chriss Wood na Elanga tu
Natumaini Marecsa amewapa vijana mpango kazi wa kuwadhibiti. Elanga ana mbio na Wood anajicho la goli sana yule jamaa
Line up iwe hivi

-----------Neto------------

Madueke -----Palmer-----Sancho

----Enzo -----------Lavia------

Cucurella --Colwill----James ----Caicedo

-----------Sanchez------------

Tukiwa tuna mpira na kushambulia

--------------Neto ------------

Madueke ---Enzo ----Palmer----Sancho

Cucurella-----Lavia ----------Caicedo

---------Colwill -------James------

-----------Sanchez------------
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ollachuga ni Saint Anne wa Chelsea. Saint Anne hata mechi huwa haangalii kwa sababu ya uoga wa kufungwa. Matokeo anakujaga kucheki jukwaani siku moja au mbili baada ya mechi. Akikuta walishinda, anaangalia marudio.
Nani kakudanganya😂
Nimefunga DStv kwa ajili ya soka zuri la kimataifa.
Sisi mabingwa wa Dunia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora hata Saint Anne anajua ratiba zote za timu yake, anawajua wachezaji wake wote na mara kibao utakutana nae kwenye vibanda umiza, ila mwamba OllaChuga Oc yeye anafatilia mpira akisikia tu Chelsea imeshinda tena hua hata hajui chelsea imeshinda ikicheza na timu gani.
OllaChuga Oc mtu wa maana kabisa hataki stress kabisa katika maisha yake kwa sababu ya mamipira, ndio maana humkuti hata akilialia humu timu yake inapovurunda.
View attachment 3340729
Bora umenitetea😂😂😂😂🙌🏿
Ila nimemmiss Ollachuga na tambo zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom