Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyioe wajinga hamna team kabisa
Caicedo na Lavia wamepishana na gari la mshahara
Huko kwenu hawawezi pta EPL milele
Nani sasa anaweza sema hapa kama bado hayaogopi Majogoo ya Anfield>?
 
Ruben Amorim na Manchester United, kwa ujumla, hawatawahatarisha wachezaji wao pekee walio fiti kabla ya fainali ya Ligi ya Europa ili kutafuta ushindi usio na thamani dhidi ya Chelsea. Mechi hiyo haina thamani yoyote kwa kampeni zao msimu huu kwao, hivyo watapanga timu kwa ajili ya kufuata taratibu ili kuepuka kupigwa faini na FA vinginevyo hata timu wangetamani wasiilete uwanjani. Baada ya tarehe .16 Ijumaa, tarehe 21 Mei 2025 ndio fainali yao na Spurs. Ni siku tano tu za kujiandaa baada ya mechi na Chelsea. Pointi za kuokota hizoooo.
1747084473953.png
 
Nyioe wajinga hamna team kabisa
Caicedo na Lavia wamepishana na gari la mshahara
Huko kwenu hawawezi pta EPL milele
Nani sasa anaweza sema hapa kama bado hayaogopi Majogoo ya Anfield>?
Juzi tuliwafanya kwa mbele au nyuma au haikuingia vizuri nini?
 
Kama tukimaliza nafasi ya tano na spurs akashinda fainali yao je tutakuwa na nafasi ya kucheza uefa au tutanyang'nywa na spurs ambaye kashinda europa lembu
 
Kama tukimaliza nafasi ya tano na spurs akashinda fainali yao je tutakuwa na nafasi ya kucheza uefa au tutanyang'nywa na spurs ambaye kashinda europa lembu
Tayari EPL wamepewa nafasi tano
Nafasi ya sita itakuwa kati ya Man United au Spurs
Hata tungerudi nyuma Aston Villa angeshinda UEFA akiwa nje ya 5 bora naye angecheza UEFA na EPL ingekuwa na timu saba. Hayo ndio majibu yangu ya uhakika. Hakuna limit kwa sheria za sasa
Nafasi tano zipo kisheria Nafasi ya bingwa wa Europa na UEFA pia zipo kisheria
 
Kweli nyakati zinakimbia sana; dunia imefikia hatua hakuna Kocha wa kueleweka na washambuliaji wa kueleweka nako hakuna kabisa. Kweli tunapitia nyakati zenye mashaka sana sisi wapenzi wa football.
Point no 3 ni muhimu tatizo hakuna kocha tena wa daraja la juu aliyesokoni
Ni kukomaa na kipara tu mpaka kiote nywele pamoja na kutafuta clinical striker
 
Kweli nyakati zinakimbia sana; dunia imefikia hatua hakuna Kocha wa kueleweka na washambuliaji wa kueleweka nako hakuna kabisa. Kweli tunapitia nyakati zenye mashaka sana sisi wapenzi wa football.
Muwe na Shukrani, timu inaanza kufufuka. Wangalieni Arsenal walijifia hadi Arteta kaja kuwafufua
Manyumbu hao wako hoi. Angalau hata sasa tunawania UCL na naamani kuanzia msimu ujao suala la UCL sio tena la kukaza roho
 
Kuna shida zetu ila sio nyie chelkenge Leo tunakuja tu kupasha na nyie sio kucheza mpira.
 
Hafu mmetoa matakataka ya jezi mpya hata kuya post hapa mmegoma😁😁
 
Hongereni sana the Blues!
Ni 1-0 tu, lakini ni ushindi mkubwa.
Mchezo dhidi ya Forest utakuwa fainali ya kweli ya msimu huu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi wazee wa Kamati ya Roho Mbaya tunaendelea na dua zetu kwa City, Villa na Forest washinde mechi zao zote zilizo salia.
Mburukenge mna fainali 2 zinawangojea dhidi ya Real Betis kwenye conference na N.Forest kwenye Ligi.
Tunawaombea mgongwe kotekote Kenge kabisa nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom