Livekuku Mwandamizi wewe, kwa sababu alikupelekea moto mkapigwa 3-1 ndiyo umchukie hivyo?Huyo caicedo hatowafikisha popote tafuteni wachezaji wa kueleweka
Pamoja na kuwa sio shabiki, ila kitendo cha kila mara timu ikifika ,,3/4 inarudi kwa kipa, hapo hamna wafungaji.Kipindi cha pili tulicheza sana mpira pindi alipotoka madueke na kuingia james pale katikati tulimiliki kwa kuwa tulikuwa na viungo bora watatu katikati tulikosa mbinu tu ya kuifungua beki ya Newcastle ila coach abadilike awe anawachezesha wote watatu pira lilipigwa pira la maana pira biliani. Utatu huu ni noma sana caicedo, lavia na Enzo
Sandy BaltimoreSafi sana, wakina mama wametulipia, hao wakina mama wanapga direct football moja ya hatarii nimewacheki for the first tym jana,mpira unavutia kuangalia. sio kama wanaume mpira unazunguuushwaa weeee bila kujua waufanyie nini!!
Kuna muafrika mmoja yaan ana pase kama mwanaume, cjui ni mwanaume yule? Wakina mama wamenipgia season Invicible. Safi sana.
Timu imecheza vizuri, kipindi cha kwanza ndio ilikuwa mbovu na ujinga alioufanya Nicolas Jackson umetugharimu. Hata hivyo bado kuna suprises nyingi tutarajie kutoka kwa washindani wetu hasa Forest na Aston Villa na hata Newcastle. Mechi inayofuata watacheza na Arsenal ambayo haikufanya vizuri mechi zao tatu mfululizo za ligiHamna timu hapa bali kikundi cha vijana machokoraa
Takataka hiyoJackson sijui ni mchezaji wa aina gani
Point no 3 ni muhimu tatizo hakuna kocha tena wa daraja la juu aliyesokoniKwahiyo tunajipangaje msimu ujao?
1. Kusajili wachezaji wapya saba
2. Kutafuta kocha mwingine
3. Kuendelea na kocha Enzo + wachezaji waliopo.
Malafyale, jina lako tu ni la ... wacha kutukana mambo wakti bado hujavuka mtoNyie wapumbavu hata UCL sidhani kama mtakuwepo
Hamjui kucheza mpira