Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nani kakudanganya😂
Nimefunga DStv kwa ajili ya soka zuri la kimataifa.
Sisi mabingwa wa Dunia.
Bingwa wa dunia ya kwa mpalange labda.

Hapo kwenye bingwa wa dunia hebu kuwa na heshima kidogo.

Miamba inakutana USA mwezi juni huku City akiwa ndiye bingwa mtetezi (klabu bingwa ya dunia), Loserfools hata kwenda kuwa mnaokota mipira tu kwenye hayo mashindano hamuwezi achilia mbali kushiriki 😂😂😂
 
Hata kuokota mipira tu mkuu? 😀 😀 😀
 
Wanawake wa Arsenal oyee!
Mkisema mpira ni ufundi, nguvu, vipaji na au mwalimu bora na blaa blas zingine mimi nakataa kwa sababu Barcelona wanazo zote.
Barcelona iliyotupondea wanawake wetu kwa goli 8-2 leo hii tena kwenye finali kubwa kama hiik wamekubali kutobolewa na vibonde wa Chelsea!
 
Duh yani Arsenal w kamfunga Barcelona w ?!!? ,mpira bhn mda mwingine unashangaza sana
 
Forest kipindi cha kwanza huwa wanatumia nguvuv sana ila ikifika kwenye dakiak za 60 au 70 wanakuwa hoi na kufanya makosa makosa mengi. Lavia aingie na Caicedo aurid RB
 
Mpaka sasa
Chelsea 1-0
Man U 1-0
Everton 1-0
1748191548191.png
 
lembu una lakusema kuhusu kuwalinganisha uwezo kocha aliyepita na huyu wa sasa ulisema utawalinganisha msimu ukiisha nini maoni yako kati ya mashavu na huyu kocha
 
Dah !Alhamdulilah bora tumerudi UEFA ,Chelsea si ya kucheza ligi za mchangani aisee .Ilikuwa ni dharau kibonde arsenyani anacheza UEFA halafu Champion kama Chelsea anacheza conference , hii ilikuwa ni fedheha
Big up kwa boys , wakaze msimu ujao tugombanie ubingwa ,msimu huu kuna muda walikata moto ,tukawa tunapata matokeo ya ovyo ila tulianza vizuri sana
 
lembu una lakusema kuhusu kuwalinganisha uwezo kocha aliyepita na huyu wa sasa ulisema utawalinganisha msimu ukiisha nini maoni yako kati ya mashavu na huyu kocha
Pamoja na kufanya vizuri zaidi ya Pochettino, Maresca kabebwa na afya njema za wachezaji muhimu, Lavia, James, na ule utitiri wa injiuury haukuwepo sana msimu huu. Wakati wa Pochettino kila wiki kuna majeruhi ya wachezaji muhimu sio mchini ya 10.

NINATANGAZA RASMI KWAMBA ENZO MARESCA AMESAMEHEWA "DHAMBI" ZAKE ZOTE ALIZIFANYA KUPITIA
POOR PLAYER MANAGEMENT, POOR LINEUPS, POOR SUBS, POOR TACTICAL APPROACH AND GAMEPLAN AND POOR PRESS CONFERENCES.

Mungu pia atusaidie katika fainali ya UECL Jumatano ijayo! 🙏⚽
 
Levi Colwill juu ya kupata kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa:

"Tumerudi pale tunapopaswa kuwa. Vijana wanapata kujithibitisha. Kila mtu amekuwa akizungumza mengi kuhusu sisi, lakini tumefanya."
 
Enzo Maresca juu ya wakosoaji wa Chelsea katika msimu huu wote: "Nasema kwa kiingereza 'F****off' kwao."
Walikuwa wakisema kwamba sisi ni wadogo sana, hatufai... kwa bahati mbaya kwao, wote wamekosea."
1748197832238.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom