Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Lile piga nyeto Palmer jana limetoa boko

Uliona wapi pep akaacha mchezaji bora

Kocha amempa majukumu machache uwanjan ila makosa kibao

Chezaji hata kupiga shoot haliwez 😀😀😀😀

Nyeto Palmer 😀😀😀😀😀😀😀😀

Kenge nyie nyeye nyenye ubingwa 😀😀😀😀
 
He is good ila siyo namba moja EPL. Hata kwenye timu yenu siyo namba moja
Niambie defensive midfilder yupi kwa pale EPL amemzidi Caicedo kwa performance au unampima kwa kiwango cha team kwa sasa sio individual?
 
Hata tukishauri haisaidii Kocha wetu ana kichwa kigumu na misimamo ya kijinga. Acha tuendelee kupoteza points.
Tatizo la Marseca akizidiwa habadiliki, ana watu wa mgongoni na wale wa matakoni

Soma tu majibu anayotoa wakati anafanyiwa interview na @BobbyVincentFL

Enzo Maresca: "Pedro was very good, Jadon was good, Nico was good, Cole was good, Enzo was good, Moi [Caicedo] was good, Levi was good, Josh [Acheampong] was good... make change for change, I don't like."

EM: “Let me ask you, who you change today?
”B: “You had Nkunku and Felix on bench”
EM: “Yeah, but for who?”
B: “I dunno”
EM: “I know that’s my job sometimes, but when we do changes it’s because one is not good enough or one is tired not pressing good. Today I think the 11 on the pitch were good”
 
Niambie defensive midfilder yupi kwa pale EPL amemzidi Caicedo kwa performance au unampima kwa kiwango cha team kwa sasa sio individual?
Namjudge kwa kukumbuka tangu yupo Brighton.

Ila kabla hatukafika mbali sana tukubaliane kwamba kuna baadhi ya stats zitakua nzuri kwa baadhi ya mchezaji wa ulinzi kulinganisha na mwingine wa nafasi hiyo hiyo ya ulinzi na biggest factor ni urahisi wa timu mojawapo kushambuliwa.

Mfano Onana atakua ameface shots nyingi kuliko Becker, Raya au Ederson hii haimaanishi yeye ni mzuri kuzidi hao watatu.

Caicedo kafanya tackles nyingi ukimlinganisha na midfielders wengine. Ila ana interceptions chache. Kiungo wa ulinzi cha kwanza ni kuintercept, akifeli ndiyo anaresort kwenye tackling. So hizi stats mbili ziko sahihi kwamba hawezi kuintercept so inabidi afanye tackling.

Kutokana na kufanya sana tackling, Caicedo anaongoza kwa kusababisha faulo kwa kumlinganisha na midfielders wenzake.

Caicedo anaongoza kwa touches na passes. Lakini pass inahesabiwa hata back pass au sideway pass hapa Caicedo hata kwenye assists anarank sawa au anapitwa na ambao hawapo hata kwenye tano bora ya touches au passes.
 
Ndg, stats inategemea unatumiaje au numechukuwaje!
Mfano shots kipimio kizuri ni perntage na sio idadi
Kipa mwenye idadi nyingi ya shots stopage anaweza kuwa ni kipa mbovu ukibadili kwenda kwenye asilimia
Ninamaanisha
Kipa asipopigiwa mashuti nitajuaje mzuri
Beki asipopelekewa mashambulizi nitajuaje ni mzuri
Factors zote zinatumika. kipa mzuri lazima perntage ya shots stopage, cleansheets, conceedeed goals and blaa blaa zitumike kumpima

Jambo la pili kwenye kila nafasi kuna aspects ambazo ni muhimu na zingine sio muhimu
mfano tackle, clearance, interceptions, duels won, ball recoveries ni vipimio vya muhimu sana kwa DM na beki kuliko idai ya magoli aliyofunga

Attacking Midfielder, vif=gezo vyake muhimu ni goals scored, assists, chances created nk

Kwa sababu hivi vigezo ni vingi sana na sio kila aspectr mchezaji mmoja atakuwa kinara kuliko wengine ndio maana tunachuku8a average. Caicedo kwa wastani anaongoza EPL kwa hizo aspect za CM/DM. Unaweza mwenye kwenda kucheki kwenye tovuti ya EPL
 
Hapa sasa ndiyo nikasema stats zinaweza mfavour mchezaji fulani kwa kumlinganisha na mwingine kutegemea na timu aliyopo.

Pia lazima ujue the higher the number the higher the percentage. This means mwenye idadi kubwa atakua na asilimia kubwa and vice versa.

Mfano Mustafi alikua ana stats nzuri defensively ukimlinganisha na Virgil, lakini hii ni kwakua kipindi hicho Liverpool walikua wanapossess mpira mpaka 80% so Virgil hakutani sana na mashambulizi. Same logic inaenda kwa kipa kama Onana ambaye anaface shots nyingi kuliko makipa wengi (kuna stats ziliwahi tumwa)

Kila nilichoandika ni sawa. Unless kama kuna kitu kipya unataka kushare
 
Sijakataa nimeongezea tu
Mfano kipa anaweza akawa mzuri sana kwenye kustop mashuti kweli kweli lakini pale timu inamtegemea aibebe anaiangusha, save moja ya kipa huyu inaweza kuwa bora sana kuliko save 5 za kipa yule

Kwa upande mwingine kuna mchezaji anan kuwa best kwenye mfumno mzuri na anakuwa worst kwenye mfumo mbovu na kuna wachezaji iwe mfumo ni mbovu au mzuri wao ni top muda wote

Mimi ningetolea mfano wa Kante, yeye alikuwa hategemei anacheza na nani, akina Jorginho walionekana wazuri kwa sababu8 Kante aliwabeba
 
Tuna wakuregenz wa michezo wa hovyo sana ni kama kuna mda hawajui walifanyalo.
 
Chelsea wamejadili nia ya kumnunua Marc Guehi kutoka Crystal Palace na pia wamejadili kukatiza mkopo wa Trevoh Chalobah. Msimu uliopita Palace walitaka paun i mil 70 kwa Guehi. Sasa miezi sita imeshapita na amebakiwa na miezi 18 kwenye mkataba wake. Chelsea wakitaka kumnunua kuna sell clause ya mil 20 kwa hiyo kuna uwezekan o Chelsea wakampata Guehi kwa mil 40 bila Swap deal na Chalobah
1736197628586.png
1736197897579.png
 
Kuna mda Maresca ni kama haishi na maneno yake, sio mara moja au mara mbili ashasema Felix,Palmer,Madueke,Nkunku hawawezi kuanza pamoja kwa sababu wote sio wakabaji

Kingine nikuendelea kujitoa akili kukchezesha Disas kama right back wakat una Achaempong ambae ni rb halis

Katika game 3 zilizopita Maresca amezingua maana hata ukiangalia sub zake nizakuchelewa na si kama hapo mwanzo unakuta mchezaj ashazingua tangu first half ila unakuta 2nd half bado anaendelea

Game ya Fulham-Sancho game ilikuwa ishamkataa ila Neto ndie aliyetolewa na Sancho akamaliza dakika 90

Game ya Ipswich disasi game ishamkataa ila kaja kutolewa dakika ya 77 huko
Toka mechi ya Everton kiongozi...Sancho alishakata moto Ila analazimishwa kuendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom